Posted on: April 7th, 2024
Imeelezwa kuwa serikali inaendelea kufanyia kazi suala la utoaji wa mikopo ya 10% kwa wanawake, vijana na watu wenye ulemavu ili kutengeneza utaratibu mzuri utakaokuwa na ufanisi.
Hayo ya...
Posted on: April 5th, 2024
Na Mwandishi Wetu
Wananchi wilayani Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kuunganisha nguvu kuwapinga wapiga ramli chonganishi maarufu kama Kamchape kwakuwa wanadhalilisha watu kupitia vitendo wan...
Posted on: March 27th, 2024
Wakuu wa idara na vitengo wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kujituma katika utendaji kazi ili kutengeneza mazingira wezeshi kwa halmshauri kukusanya mapato ya kutosha.
...