• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kasulu District Council
Kasulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo-Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
      • MRADI WA UMWAGILIAJI TITYE
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Taratibu
    • Huduma Kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Makala
    • Matangazo

WAKUU WA IDARA WATEMBELEA ENEO LA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA-KASULU.

Posted on: July 9th, 2019

Na. Andrew Mlama-Kasulu

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Mha. Godfrey Kasekenya, amewaongoza Wakuu wa Idara na Vitengo katika ziara ya kukagua Maendeleo ya ujenzi wa Miundombinu ya Hospitali pamoja na kuzunguukia na kujionea eneo linalitarajiwa kujengwa makao makuu ya wilaya hiyo.

Akiwa katika eneo la Ujenzi wa Hospitali, Mha. Kasekenya amekagua maendeleo ya ujenzi wa majengo mbalimbali ikiwemo jengo la Wodi ya wazazi, Maabara, jengo la wagonjwa wa Nje, Stoo ya madawa, Jengo la Mionzi, usafi pamoja na Utawawala, ambapo ameonyesha kuridhishwa na kasi  ya utendaji kazi pamoja na ubora wa majengo yanayoendelea kujengwa.

Aidha Mkurugenzi amewaongoza wakuu hao wa Idara na Vitengo kutembelea na kujionea eneo linalotarajiwa kujengwa Miundombinu mbalimbali kwa ajili ya makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu.

Amewasisitiza watumishi wa Idara ya Ardhi na Maliasili kuhakikisha wanakamilisha michakato muhimu itakayohalalisha matumizi ya Ardhi katika eneo hilo ikiwemo ujenzi wa Ofisi za Serikali, Kituo cha Mabasi, maeneo ya kibiashara, Kituo cha Polisi, Shule, Vyuo, uuzaji wa viwanja kwa watu binafsi nk.

Mtaalam wa Idara ya Ardhi Ndg. Abidius Boniface akifafanua jambo kwa Baadhi ya wakuu wa Idara.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Mha. Godfrey Kasekenya akitolea ufafanuzi wa jambo kwa baadhi ya wakuu wa Idara na Vitengo wakati wa Ziara ya kukagua maendeleo ya Ujenzi wa majengo ya Hospitali ya Wilaya.

Mratibu wa TASAF wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Ndg. Almachius Njungani akiweka Saini kwenye kitabu cha wageni baada ya kukagua vifaa kwenye Stoo  ya kuhifadhia vifaa vya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kasulu.

Muonekano wa Jengo la Wodi ya wazazi ambalo ni mojawapo wa Majengo ya Hospitali ya Wilaya ya Kasulu, kazi ya upauaji ikiendelea na mafundi wakiwa kazini.

Baadhi ya wakuu wa Idara na vitengo wakiwa katika Picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Mha. Godfrey Kasekenya (wa Tano kutoka kushoto) mara baada ya kuhitimisha ziara ya kukagua eneo linalotarajiwa kujengwa makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu.




Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO ILIYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 08, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI February 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA February 21, 2024
  • MWALIKO WA ZABUNI KUPANGISHA ENEO KWAAJILI YA MGAHAWA March 08, 2024
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • PAMBA KUINUA UCHUMI WA WAKULIMA

    May 08, 2025
  • WASHIRIKI WA MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA WAHASWA KUFANYA KAZI KWA BIDII

    April 29, 2025
  • MAWAKALA WA VYAMA KURUHUSIWA KITUONI KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA

    April 29, 2025
  • MAWAKALA WA VYAMA KURUHUSIWA KITUONI KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA

    April 29, 2025
  • Angalia Zote

Video

NAIBU WAZIRI OR-UTUMISHI NOV 2022
Video zaidi

KURASA ZA KARIBU

  • PlanRep_Web_Based
  • FFARS Online Manual
  • PlanRep Online Manual
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • safari_Live
  • safaridemo
  • Dashibodi ya Ukusanyaji wa Mapato
  • UNICEF Dashboard
  • Kamusi Eng & Swa

TOVUTI ZINAZOHUSIANA

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • BUNGE
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • ARIDHI
  • OPEN UNIVERSITY
  • PSPTB
  • AJIRA
  • HFR Dashboard
  • KIGOMA DC
  • NACTE
  • NECTA
  • eMrejesho

Kihesabu watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU

    Anuani ya Posta: S.L.P 97

    Simu ya Mezani: +255-028-2810339

    Simu: +255-028-2810339

    Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera Ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma
    • Wasiliana Nasi

Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.