Tuesday 3rd, December 2024
@UKUMBI WA MIKUTANO
MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA KASULU ANAWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA TAREHE 24/08/2017 KUANZIA SAA 4:00 ASUBUHI LITAFANYIKA BARAZA LA MADIWANI KWA AJILI YA KUPITIA NA KUJADILI TAARIFA ZA ROBO YA NNE (APRIL-JUNI 2016/2017).
BARAZA HILI LA MADIWANI LITAENDA SAMBAMBA NA MKUTANO WA MWAKA AMBAPO KUTAKUWA NA UCHAGUZI WA MAKAMU MWENYEKITI WA HALMASHAURI PAMOJA NA UUNDWAJI WA KAMATI ZAKUDUMU.
HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU
Anuani ya Posta: S.L.P 97
Simu ya Mezani: +255-028-2810339
Simu: +255-028-2810339
Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz
Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.