Sifa za wanaostahili kuhesabiwa;
(i)Watu wote watakaokuwa wamelala katika kaya zilizopo ndani ya mipaka ya nchi ya Tanzania usiku wa kuamkia siku ya sensa.
(ii)Watu wote wasio na makazi maalumu, wanao hamahama na ambao watalala nchini usiku wa kuamkia siku ya sensa.
(iii)Watu wote watakaokuwa wamefariki baada ya saa 6 usiku wa kuamkia siku ya sensa.
(iv)Watoto wote waliozaliwa kabla ya saa 6 usiku wa kuamkia siku ya sensa.
(v)Wasafiri watakaokuwa kwenye meli, viwanja vya ndege, stand za magari na kwenye nyumba za kulala wageni usiku wa kuamkia siku ya sensa.
"SENSA KWA MAENDELEO YA TAIFA, JIANDAE KUHESABIWA"
HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU
Anuani ya Posta: S.L.P 97
Simu ya Mezani: +255-028-2810339
Simu: +255-028-2810339
Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz
Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.