Sherehe za miaka 60 ya Uhuru Wilayani Kasulu ziliadhimishwa kwa shughuli mbali mbali ikiwa ni pamoja na kufanya usafi kwenye mitaa ya mji wa Kasulu.
Pichani, Wanasheria waandamizi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Ladislaus Emmanuel (kushoto) na Lesi Majala (kulia) wakiwa wamebeba furushi la takataka, nyuma yao ni Margreth Joseph Afisa utumishi na Cosmas Msema mweka hazina. Pia, watumishi mbalimbali kutoka ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu walishiriki.
HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU
Anuani ya Posta: S.L.P 97
Simu ya Mezani: +255-028-2810339
Simu: +255-028-2810339
Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz
Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.