Zaidi ya wajumbe 300 kutoka katika kata, vijiji na vitongoji vya Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu wamepata maelekezo yanayohusu mfumo wa anuani za makazi ikiwa ni maandalizi ya utekelezaji wa zoezi hilo linalotarajiwa kukamilika ifikapo mwishoni mwa Aprili, 2022
HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU
Anuani ya Posta: S.L.P 97
Simu ya Mezani: +255-028-2810339
Simu: +255-028-2810339
Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz
Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.