Posted on: August 13th, 2022
Sifa za wanaostahili kuhesabiwa;
(i)Watu wote watakaokuwa wamelala katika kaya zilizopo ndani ya mipaka ya nchi ya Tanzania usiku wa kuamkia siku ya sensa.
(ii)Watu wote wasio na makazi maalumu,...
Posted on: August 11th, 2022
Makarani wa sensa ya watu na makazi wa halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma waliokuwa wakifanyia mafunzo yao kwenye chuo cha ualimu Kasulu, wamehamishia mafunzo hayo katika vijiji vya Makere,...