• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kasulu District Council
Kasulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo-Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
      • MRADI WA UMWAGILIAJI TITYE
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Taratibu
    • Huduma Kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Makala
    • Matangazo

ZOEZI LA ANUANI ZA MAKAZI LAPAMBA MOTO KASULU

Posted on: April 7th, 2022

Zoezi la kuweka namba katika nyumba na majengo linaloendelea nchini, limeshika kasi katika halmashauri ya wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma likichagizwa na ugeni wa viongozi kutoka mkoani na kwenye Wizara husika, anaripoti .


Wakizungumza wakati wa kikao cha mafunzo elekezi kwa makarani watakaokusanya taarifa za anuani za makazi kwenye halmashauri hiyo, Robert Mwakyami kutoka idara ya utumishi katika wizara ya habari, mawasiliano na teknolojia ya habari na Rodrick Maduhu mratibu wa anuani za makazi mkoa wa Kigoma walisema, zoezi la anuani za makazi ni zoezi muhimu linalofanyika nchini linalotakiwa kutekelezwa kwa wakati na kwa makini.


Mwakyami na Maduhu wanaotembelea halmashauri za mkoa wa Kigoma kukagua maendeleo ya utekelezaji wa zoezi hilo walisema, wamepita katika halmashauri mbalimbali na kukuta utekelezaji ukiwa kwenye hatua tofauti tofauti na kuwataka washiriki wa mafunzo hayo sanjari na watendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Kasulu, kuhakikisha kuwa zoezi hilo linafanikiwa.


Akizungumzia mafunzo hayo, mratibu wa anuani za makazi wa halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Abudius Lubatu alisema, mafunzo hayo yanayofanyika kwa siku mbili, yatahusisha nadharia na vitendo.


"Mpaka sasa zoezi linakwenda vizuri, tuko katika hatua ya kuweka namba kwenye nyumba na majengo kazi ambayo inafanywa na watendaji wa vijiji", alisema. 


Aliongeza kuwa, kufanyika kwa kazi hiyo kutawarahisishia makarani watakapokuwa wakienda kukusanya taarifa.


Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu yenye kata 21, vijiji 61 na vitongoji 283, inakadiria kuifanya kazi ya ukusanyaji wa taarifa za anuani za makazi, kwa muda usiozidi siku 15.


Picha ya juu ni Kaimu Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Jackson Jekonia alipokuwa akifungua mafunzo ya siku mbili ya makarani wa anuani za makazi, kulia kwake ni Robert Mwakyami afisa utumishi Wizara ya habari, mawasiliano na teknolojia ya habari makao makuu na kushoto kwake ni Rodrick Maduhu mratibu wa anuani za makazi, mkoa wa Kigoma. 


Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO ILIYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 08, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI February 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA February 21, 2024
  • MWALIKO WA ZABUNI KUPANGISHA ENEO KWAAJILI YA MGAHAWA March 08, 2024
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • KASULU DC YAANZISHA SHAMBA DARASA LA VIAZI LISHE KUKABILIANA NA UTAPIAMLO

    June 15, 2025
  • KUU KASULU YAKAGUA MIRADI YA MWENGE

    June 13, 2025
  • MATUMIZI YA ZANA ZA UFUNDISHAJI YATAJWA KUONGEZA UFANISI SHULENI

    June 11, 2025
  • WALIMU SHULE YA MSINGI KISUMA WATOA SHUKRANI KWA WADAU WALIOCHANGIA SARE NA VIFAA KWA WANAFUNZI

    June 05, 2025
  • Angalia Zote

Video

NAIBU WAZIRI OR-UTUMISHI NOV 2022
Video zaidi

KURASA ZA KARIBU

  • PlanRep_Web_Based
  • FFARS Online Manual
  • PlanRep Online Manual
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • safari_Live
  • safaridemo
  • Dashibodi ya Ukusanyaji wa Mapato
  • UNICEF Dashboard
  • Kamusi Eng & Swa

TOVUTI ZINAZOHUSIANA

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • BUNGE
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • ARIDHI
  • OPEN UNIVERSITY
  • PSPTB
  • AJIRA
  • HFR Dashboard
  • KIGOMA DC
  • NACTE
  • NECTA
  • eMrejesho

Kihesabu watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU

    Anuani ya Posta: S.L.P 97

    Simu ya Mezani: +255-028-2810339

    Simu: +255-028-2810339

    Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera Ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma
    • Wasiliana Nasi

Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.