• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kasulu District Council
Kasulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo-Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
      • MRADI WA UMWAGILIAJI TITYE
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Taratibu
    • Huduma Kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Makala
    • Matangazo

WATENDAJI WATAKIWA KUHAKIKISHA WAZAZI WANAPELEKA WATOTO KUPATA CHANJO YA POLIO

Posted on: September 21st, 2023

Na Mwandishi Wetu.

Watendaji wa Kata na Vijiji katika Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kuhakikisha wananchi wanawapeleka watoto wenye umri wa chini ya miaka nane kwenda kupata chanjo ya ugonjwa wa Polio.  

Hayo yamebainishwa leo wilayani humo na  Afisa  Usafi na Udhibiti wa Taka wa halmashauri hiyo, Ndelekwa Vanica aliyemwakilisha Mkurugenzi, Joseph Kashushura katika uzinduzi wa kampeni ya kitaifa ya Chanjo ya Polio.

Amesema Serikali kupitia Wizara ya Afya imeona umuhimu wa kuendesha zoezi hilo katika mikoa sita ya Kigoma, Mbeya, Rukwa, Katavi, Songwe na Kagera litakalochukua muda wa siku nne.

“Zoezi hili litafanyika kwa awamu mbili   awamu ya kwanza tunaizindua leo hadi tarehe  24 na awamu ya pili itakuwa mwezi Novemba kwa kuwafikia watu majumbani, kwenye vituo vya afya na maeneo yote ambayo tumeona kuna mkusanyiko wa watu unaojumuisha watoto wadogo,” amesema.

Pia amebainisha kuwa wilaya ya Kasulu imelenga kutoa chanjo hiyo kwa watoto wapatao 176,547 na kuwataka viongozi hao kuhakikisha wanawachukulia hatua watu wote watakaotaka kukwamisha zoezi hilo.

Kwa upande wake Msimamizi wa Kampeni Ngazi ya Mkoa, Dr Godfrey Smart amesema kuwa zoezi hilo limefanyika katika mikoa hiyo baada ya mkoa jirani wa Katavi  mtoto kubainika kuumwa ugonjwa huo.   

Pia amebainisha kuwa  mkoa wa Kigoma umepanga kuwachanja watoto wapatao  884,000 na chanjo hiyo ni salama  kwa kuthibitishwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) na Wizara ya Afya.

Naye mmoja wa wananchi walioudhuria tukio hilo, Amina Zekieli akizungumza na mwandishi wetu amesema kuwa amesukumwa kuleta watoto wake kuja kupata chanjo hiyo ili kuwakinga na ulemavu wa kudumu siku za mbeleni.


 

 

 

 

 

 

 

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO ILIYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 08, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI February 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA February 21, 2024
  • MWALIKO WA ZABUNI KUPANGISHA ENEO KWAAJILI YA MGAHAWA March 08, 2024
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • KASULU DC YAANZISHA SHAMBA DARASA LA VIAZI LISHE KUKABILIANA NA UTAPIAMLO

    June 15, 2025
  • KUU KASULU YAKAGUA MIRADI YA MWENGE

    June 13, 2025
  • MATUMIZI YA ZANA ZA UFUNDISHAJI YATAJWA KUONGEZA UFANISI SHULENI

    June 11, 2025
  • WALIMU SHULE YA MSINGI KISUMA WATOA SHUKRANI KWA WADAU WALIOCHANGIA SARE NA VIFAA KWA WANAFUNZI

    June 05, 2025
  • Angalia Zote

Video

NAIBU WAZIRI OR-UTUMISHI NOV 2022
Video zaidi

KURASA ZA KARIBU

  • PlanRep_Web_Based
  • FFARS Online Manual
  • PlanRep Online Manual
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • safari_Live
  • safaridemo
  • Dashibodi ya Ukusanyaji wa Mapato
  • UNICEF Dashboard
  • Kamusi Eng & Swa

TOVUTI ZINAZOHUSIANA

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • BUNGE
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • ARIDHI
  • OPEN UNIVERSITY
  • PSPTB
  • AJIRA
  • HFR Dashboard
  • KIGOMA DC
  • NACTE
  • NECTA
  • eMrejesho

Kihesabu watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU

    Anuani ya Posta: S.L.P 97

    Simu ya Mezani: +255-028-2810339

    Simu: +255-028-2810339

    Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera Ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma
    • Wasiliana Nasi

Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.