• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kasulu District Council
Kasulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo-Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
      • MRADI WA UMWAGILIAJI TITYE
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Taratibu
    • Huduma Kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Makala
    • Matangazo

WATENDAJI WA KATA KASULU DC WATAKIWA KUTOA ELIMU YA SHERIA NDOGO YA KUDHIBITI SUMUKUVU KWA WANANCHI

Posted on: July 2nd, 2024

Na Mwandishi Wetu

Watendaji wa Kata katika Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wamehimizwa kuwaelimisha wananchi kuhusiana na sheria ndogo ya kudhibiti Sumukuvu kwanini imeletwa ili itakapoanza kutumika isilete mgongano baina yao.

Katibu Tawala wa Wilaya ya Kasulu, Theresia Mtewele ametoa wito huo leo Jumanne Julai 2,2024 wilayani humo kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya, Mhe. Kanali Isaac Mwakisu kwenye warsha ya Mradi wa Tanpac ya Uwasilishaji wa Sheria Ndogo za Kudhibiti Sumukuvu.

Vilevile, amewataka watendaji hao kutilia mkazo suala la udhibiti wa sumu hiyo kutokana na Wilaya ya Kasulu mazao yake kulisha nchi zipatazo sita ili isitokee siku yakarudishwa mipakani kutokana na kuwa na viashiria hivyo na kuchafua taswira ya taifa.

 Afisa Kilimo Mkuu kutoka Wizara ya Kilimo, Ntirankiza Misibo amesema kuwa sheria  ndogo hizo kama zitasimamiwa vizuri  zitaimarisha usalama wa chakula,kipato kuongezeka kwa wakulima kwakuwa mazao yao yatakuwa katika ubora mkubwa pamoja na afya za walaji kuimarika.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu, Dkt. Semistatus H. Mashimba amesema kuwa sheria hizo hazijatungwa    ili kufanya tatizo la Sumukuvu liendelee na kuwataka watendaji wa Divisheni ya Kilimo kutafuta njia nyingine ya namna ya kulimaliza.  

Katika hatua nyingine Mkuu wa Kitengo cha Sheria Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu, Emmanuel Ladislaus amesema kuwa halmshauri ina wajibu wa  kuhimiza wakulima kufuata kanuni bora za kilimo kwenye utayarishaji wa mashamba, uvunaji na utunzaji wa mazao ili kudhibiti tatizo la Sumukuvu  linaloathiri afya ya binadamu.

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO ILIYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 08, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI February 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA February 21, 2024
  • MWALIKO WA ZABUNI KUPANGISHA ENEO KWAAJILI YA MGAHAWA March 08, 2024
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • KASULU DC YAANZISHA SHAMBA DARASA LA VIAZI LISHE KUKABILIANA NA UTAPIAMLO

    June 15, 2025
  • KUU KASULU YAKAGUA MIRADI YA MWENGE

    June 13, 2025
  • MATUMIZI YA ZANA ZA UFUNDISHAJI YATAJWA KUONGEZA UFANISI SHULENI

    June 11, 2025
  • WALIMU SHULE YA MSINGI KISUMA WATOA SHUKRANI KWA WADAU WALIOCHANGIA SARE NA VIFAA KWA WANAFUNZI

    June 05, 2025
  • Angalia Zote

Video

NAIBU WAZIRI OR-UTUMISHI NOV 2022
Video zaidi

KURASA ZA KARIBU

  • PlanRep_Web_Based
  • FFARS Online Manual
  • PlanRep Online Manual
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • safari_Live
  • safaridemo
  • Dashibodi ya Ukusanyaji wa Mapato
  • UNICEF Dashboard
  • Kamusi Eng & Swa

TOVUTI ZINAZOHUSIANA

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • BUNGE
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • ARIDHI
  • OPEN UNIVERSITY
  • PSPTB
  • AJIRA
  • HFR Dashboard
  • KIGOMA DC
  • NACTE
  • NECTA
  • eMrejesho

Kihesabu watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU

    Anuani ya Posta: S.L.P 97

    Simu ya Mezani: +255-028-2810339

    Simu: +255-028-2810339

    Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera Ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma
    • Wasiliana Nasi

Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.