• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kasulu District Council
Kasulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo-Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
      • MRADI WA UMWAGILIAJI TITYE
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Taratibu
    • Huduma Kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Makala
    • Matangazo

WANAFUNZI SHULE YA SEKONDARI TITYE WATAKIWA KUONGEZA UFAULU BAADA YA KUPOKEA MAGODORO 100

Posted on: May 31st, 2024


Na Mwandishi Wetu 


Afisa Elimu (Taaluma) wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu, Mussa Kanyoe amewataka wanafunzi wa Shule ya Sekondari Titye kuongeza kiwango cha ufaulu  kama Shukrani kwa Rais wa Awamu ya Sita Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan kutokana na mushirikiana na wadau wa maendeleo kuhakikisha elimu bila malipo inatekelezeka.


Kanyoe ametoa kauli hiyo leo Mei 31,2024 kwenye hafla ya utoaji magodoro 100 kwenye shule hiyo yaliyotolewa na Umoja wa watu wa Titye waishio mkoani Dar es Salaam.


Ambapo amewapongeza kwa uzalendo mkubwa waliouonyesha kwa kuunga mkono juhudi za Rais Samia aliyeboresha miundombinu mbalimbali ya kujifunzia mashuleni. 



"Walichokifanya ni uzalendo katika taifa mbali na kwamba walisomea katika shule hii ni wachache sana ambao wanakumbuka wametoka wapi katika Halmashauri yetu... we

wiki  hii imekua ya bahati sana kwani yupo mtanzania aliejitolea vitabu katika Shule ya Sekondari Nyenge ili kuboresha mazingira ya kujifunza," amesema.

Akiongea kwa niaba ya umoja huo, Levocatus Ntagata amesema wamefanya hivyo ili kuongeza hamasa na kuchochea ufaulu kwa wanafunzi hao na kuwaweka pamoja ili kupata muda wa kushirikiana na kujisomea hasa nyakati za jioni.


Na kuongeza kuwa wakiwa kama wadau wa elimu wana imani magodoro hayo yatatunzwa vizuri ili yatumike kwa wanafunzi wajao na kutoa shukrani kwa halmashauri kukubali kupokea msaada huo.


Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari  Titye, Eden Mkole ameelezea kuwa msaada huo utasaidia kuimarisha miumdombinu ya usomaji na ujifunzaji kwa wanafunzi tofauti na ilivyokua hapo awali. 


Kwa upande wake Kaka Mkuu wa shule hiyo, Naftar Leonad ameushukuru umoja huo na kuahidi kuwa watapandisha ufaulu wa shule hiyo kwa kusoma kwa bidii huku akiwaomba wadau hai na jamii kiujumla kuwasaidia ujenzi wa mabweni zaidi.

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO ILIYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 08, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI February 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA February 21, 2024
  • MWALIKO WA ZABUNI KUPANGISHA ENEO KWAAJILI YA MGAHAWA March 08, 2024
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • KASULU DC YAANZISHA SHAMBA DARASA LA VIAZI LISHE KUKABILIANA NA UTAPIAMLO

    June 15, 2025
  • KUU KASULU YAKAGUA MIRADI YA MWENGE

    June 13, 2025
  • MATUMIZI YA ZANA ZA UFUNDISHAJI YATAJWA KUONGEZA UFANISI SHULENI

    June 11, 2025
  • WALIMU SHULE YA MSINGI KISUMA WATOA SHUKRANI KWA WADAU WALIOCHANGIA SARE NA VIFAA KWA WANAFUNZI

    June 05, 2025
  • Angalia Zote

Video

NAIBU WAZIRI OR-UTUMISHI NOV 2022
Video zaidi

KURASA ZA KARIBU

  • PlanRep_Web_Based
  • FFARS Online Manual
  • PlanRep Online Manual
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • safari_Live
  • safaridemo
  • Dashibodi ya Ukusanyaji wa Mapato
  • UNICEF Dashboard
  • Kamusi Eng & Swa

TOVUTI ZINAZOHUSIANA

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • BUNGE
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • ARIDHI
  • OPEN UNIVERSITY
  • PSPTB
  • AJIRA
  • HFR Dashboard
  • KIGOMA DC
  • NACTE
  • NECTA
  • eMrejesho

Kihesabu watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU

    Anuani ya Posta: S.L.P 97

    Simu ya Mezani: +255-028-2810339

    Simu: +255-028-2810339

    Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera Ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma
    • Wasiliana Nasi

Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.