• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kasulu District Council
Kasulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo-Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
      • MRADI WA UMWAGILIAJI TITYE
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Taratibu
    • Huduma Kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Makala
    • Matangazo

UJENZI WA KITUO CHA AFYA RUSESA MBIONI KUKAMILIKA

Posted on: November 20th, 2018

Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Rusesa Ndg. Sadi Amri Sadi.

Muonekano wa Jengo la Nyumba ya Mganga katika Kituo cha Afya Rusesa likiwa katika hatua za ukamilishwaji.

Na. Andrew Mlama.-Kasulu Vijijini.

Ujenzi wa kituo cha Afya katika Kata ya Rusesa wilayani hapa, unaendelea  vizuri na unaelekea kukamilika kutokana na utendaji kazi mzuri unaosimamiwa na uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu kwa kushirikiana na watendaji wake kwa kutumia utaratibu wa “Force Account”.

Akizungumza na mtandao wa www.kasuludc.go.tz, Mganga Mfawidhi wa Kituo hicho Ndg. Sadi Amri Sadi, amesema mradi huo unaogharimiwa na fedha kutoka  Serikali kuu Jumla ya Shilingi Mil.  500, unahusisha ujenzi wa jengo la upasuaji, Wodi ya kina mama,Nyumba ya Mganga, jengo la kuhifadhia maiti na ujenzi umefikia katika hatua za ukamilishaji.

Amesema ujenzi huo wa miundo mbinu ya Afya unatarajiwa kukamilika hivi karibuni ambapo utasaidia kutatua changamoto za huduma kwa wagonjwa hususani uwepo wa wodi ya kisasa ya kujifungulia kwani jengo lililopo sasa halikidhi mahitaji.

 “Ujenzi wa miundo mbinu ya Kituo hiki cha Afya ni muhimu sana kwani tunahudumia wagonjwa kutoka katika vijjiji mbalimbali vya Kata za Bugaga, Muzye, Kigembe, Rusesa, Kalela, Kwaga, na baadhi ya vijiji vilivyopo Halmahsauri ya Kigoma vijijini pamoja na Uvinza”amesisitiza Sadi.

Ameendelea kusisitiza kuwa mara baada ya majengo hayo kukamilika, Serikali kwa kushirikiana na uongozi wa Halmashauri kuhakikisha vifaa kwa ajili ya upasuaji na huduma ya kwanza kutokana na dharura mbalimbali zinazojitokeza vinapelekwa mapema kituoni hapo. Utekelezaji  wa huduma hizo za haraka  umekuwa changamoto kituoni hapo ambapo uhitaji wake ni mkubwa.

Kahiyu Kaloli ambaye ni Afisa Muuguzi Msaidizi Kituoni hapo, ameiomba Serikali ihakikishe ujenzi wa miundo mbinu hiyo uende sambamba na ongezeko la watumishi hali itakayorahisisha utoaji huduma katika kituo hicho.

“Tuna changamoto kubwa ya utoaji wa huduma kutokana na wingi wa wagonjwa wanaotoka  sehemu mbalimbali za wilaya ya Kasulu pamoja na wilaya za jirani”amesema Kaloli.

Ameuomba uongozi wa Halmashauri kwa kushirikiana na Idara inayohusika na Ajira pamoja na masuala ya  kiutumishi , ione haja ya kuongeza watumishi kituoni hapo kutokana  uwepo wa  Ikama ndogo  ya watumishi waliopo kituoni hapo hali inayopelekea  kutotoa huduma kwa kadri ya matarajio.

 

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO ILIYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 08, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI February 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA February 21, 2024
  • MWALIKO WA ZABUNI KUPANGISHA ENEO KWAAJILI YA MGAHAWA March 08, 2024
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • KASULU DC YAANZISHA SHAMBA DARASA LA VIAZI LISHE KUKABILIANA NA UTAPIAMLO

    June 15, 2025
  • KUU KASULU YAKAGUA MIRADI YA MWENGE

    June 13, 2025
  • MATUMIZI YA ZANA ZA UFUNDISHAJI YATAJWA KUONGEZA UFANISI SHULENI

    June 11, 2025
  • WALIMU SHULE YA MSINGI KISUMA WATOA SHUKRANI KWA WADAU WALIOCHANGIA SARE NA VIFAA KWA WANAFUNZI

    June 05, 2025
  • Angalia Zote

Video

NAIBU WAZIRI OR-UTUMISHI NOV 2022
Video zaidi

KURASA ZA KARIBU

  • PlanRep_Web_Based
  • FFARS Online Manual
  • PlanRep Online Manual
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • safari_Live
  • safaridemo
  • Dashibodi ya Ukusanyaji wa Mapato
  • UNICEF Dashboard
  • Kamusi Eng & Swa

TOVUTI ZINAZOHUSIANA

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • BUNGE
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • ARIDHI
  • OPEN UNIVERSITY
  • PSPTB
  • AJIRA
  • HFR Dashboard
  • KIGOMA DC
  • NACTE
  • NECTA
  • eMrejesho

Kihesabu watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU

    Anuani ya Posta: S.L.P 97

    Simu ya Mezani: +255-028-2810339

    Simu: +255-028-2810339

    Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera Ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma
    • Wasiliana Nasi

Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.