• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kasulu District Council
Kasulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo-Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
      • MRADI WA UMWAGILIAJI TITYE
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Taratibu
    • Huduma Kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Makala
    • Matangazo

TFS NI MFANO WA KUIGWA KWENYE KUTATUA CHANGAMOTO ZA MIUNDOMBINU MASHULENI

Posted on: March 22nd, 2024

Na Mwandishi Wetu

Mkuu wa Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, Kanali Isaac Mwakisu ametoa wito kwa mashirika ya umma na  sekta binafsi kuiga mfano wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) unaotatua changamoto   za miundombinu mashuleni wilayani humo.

Mwakisu ameyabainisha hayo   jana kwenye makabidhiano ya madawati 50 yaliyotolewa na TSF katika Shule ya Msingi Nyanzanza iliyopo Kijiji cha Kagera Nkanda wilayani humo.  

“Niombe taasisi zingine kuiga mfano   wa TFS ambao wanajitoa sana  mimi toka nimefika wamekuwa wanatoa kipaumbele kwa kile wanachokipata kukirudisha kwa jamii,” amesema.

 Aidha, amewataka wakazi wa kijiji hicho kufanya kazi kwa karibu na TFS ili misitu wanayoitunza iendelee kuwepo kitu kitakachosaidia utoaji wa misaada zaidi yenye tija kwa jamii.

Pia, amewataka walimu wa shule hiyo  kuhakikisha wanawaelekeza wanafunzi namna bora ya utunzaji wa miundombinu   iliyopo shuleni  hapo ikiwemo madawati ili iweze kutumika na vizazi vijavyo.

Mhifadhi Mkuu wa Shamba la Miti la Buhigwe na Makere, Deograsian Kavishe amesema kuwa utoaji wa madawati hayo ni utekelezaji wa  Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ibara ya 80 inayoelekeza uboreshaji wa mazingira ya kufundishia mashuleni.

“Kwa niaba ya Kamishna wa Uhifadhi tumetoa madawati haya ili kutengeneza mitaji watu hawa watoto mnaowaona hapa kila mtu ana karama yake lakini zisipoendelezwa zinaweza zisiibuke katika kutimiza ndoto zao,” amebainisha.

Naye Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Issaya Salum ameishukuru TFS kwa misaada mbalimbali waliyotoa katika shule hiyo ikiwemo mifuko 100 ya Saruji, Gypsam bodi 60, tanki la maji la lita 500, upandaji wa miti 500 eneo la shule pamoja kutoa elimu ya upandaji miti na utunzaji wa misitu kwa walimu na wanafunzi.

Katika hatua nyingine Katibu Tawala wa Wilaya hiyo, Theresia Mtewele amesema kuwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ametoa kiasi cha shilingi bilioni 1.3 kutekeleza mradi wa maji ili wananchi wa kijiji hicho huduma hiyo iweze kuwafikia.

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO ILIYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 08, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI February 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA February 21, 2024
  • MWALIKO WA ZABUNI KUPANGISHA ENEO KWAAJILI YA MGAHAWA March 08, 2024
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • KASULU DC YAANZISHA SHAMBA DARASA LA VIAZI LISHE KUKABILIANA NA UTAPIAMLO

    June 15, 2025
  • KUU KASULU YAKAGUA MIRADI YA MWENGE

    June 13, 2025
  • MATUMIZI YA ZANA ZA UFUNDISHAJI YATAJWA KUONGEZA UFANISI SHULENI

    June 11, 2025
  • WALIMU SHULE YA MSINGI KISUMA WATOA SHUKRANI KWA WADAU WALIOCHANGIA SARE NA VIFAA KWA WANAFUNZI

    June 05, 2025
  • Angalia Zote

Video

NAIBU WAZIRI OR-UTUMISHI NOV 2022
Video zaidi

KURASA ZA KARIBU

  • PlanRep_Web_Based
  • FFARS Online Manual
  • PlanRep Online Manual
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • safari_Live
  • safaridemo
  • Dashibodi ya Ukusanyaji wa Mapato
  • UNICEF Dashboard
  • Kamusi Eng & Swa

TOVUTI ZINAZOHUSIANA

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • BUNGE
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • ARIDHI
  • OPEN UNIVERSITY
  • PSPTB
  • AJIRA
  • HFR Dashboard
  • KIGOMA DC
  • NACTE
  • NECTA
  • eMrejesho

Kihesabu watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU

    Anuani ya Posta: S.L.P 97

    Simu ya Mezani: +255-028-2810339

    Simu: +255-028-2810339

    Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera Ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma
    • Wasiliana Nasi

Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.