Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri wa Wilaya ya Kasulu Ndelekwa O,S. Vanica amewataka watendaji wa Kata na Vijiji kutoa ushirikiano kwa wataalam kutoka Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari watakaofika kwenye maeneo yao kuanzia tarehe 19/11/2022 kwaajili ya tathmini ya huduma za mawasiliano ya simu katika Halmashauri hiyo, lengo likiwa kufikia 80% ya kasi ya mawasiliano katika vijiji ifikapo 2025.
Imetolewa na: Ofisi Ya Mkurugenzi Mtendaji HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU
HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU
Anuani ya Posta: S.L.P 97
Simu ya Mezani: +255-028-2810339
Simu: +255-028-2810339
Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz
Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.