• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kasulu District Council
Kasulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo-Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
      • MRADI WA UMWAGILIAJI TITYE
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Taratibu
    • Huduma Kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Makala
    • Matangazo

TAASISI YA UTO YATOA BIMA ZA AFYA NANE KATIKA SHULE YA MSINGI BUCHUMA KWA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

Posted on: August 21st, 2024

Na Mwandishi Wetu 

  Mwalimu Yusufu Hamisi ‘U Fresh’  leo Jumatano Agosti 21,2024 ametoa bima za afya nane kwa watoto wenye mahitaji maalum katika Shule ya Msingi Buchuma  iliyopo Halmshauri ya Wilaya ya Kasulu kupitia shirika lisilo la kiserikali la Usilie Tena (UTO).

 Akizungumza katika tukio hilo Yusufu ambaye ni mwalimu katika Shule ya Msingi Kisuma amesema kuwa  huwa anapambana kutafuta wadau  ili watoto wenye mahitaji maalum wilayani humo waweze kufikiwa na huduma za afya kwa lengo la  kuwapunguzia mzigo  huo wazazi.

“Msaada huu wa matibabu tuliopewa na UTO utakuwa msaada mkubwa si tu kwa wazazi pia hata kwa walimu inawezekana mtoto amezidiwa akapelekwa hospitali mzazi ukafuata kuliko anazidiwa unapigiwa simu unaanza kutafuta hela ili aende kupata matibabu,” amesema.

Aidha, Yusufu amemshukuru Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hiyo, Dkt. Semistatus H. Mashimba kwa msisitizo ambao huwa anautoa  kwa watumishi kujiongeza kwenye shughuli nyingine ambazo zitakuwa msaada kwa jamii.

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Buchuma, Rachael Mwamboja amekemea tabia ya baadhi ya watu kuwanyanyapaa watoto wenye mahitaji maalum kitu kinachopelekea wazazi kuwaficha majumbani hivyo kukosa haki yao ya msingi ya kupata elimu.

Naye Mwalimu wa Takwimu wa Shule ya Msingi Buchuma, Karist Kanuti amesema kuwa shule hiyo ni jumuishi inayohusisha pia watoto ambao si walemavu hivyo huwa wanajitahidi suala la kusaidiana linakuwepo baina ya wanafunzi.

Katika hatua nyingine Mwenyekiti wa Kamati ya shule hiyo, Edson Bukene amewataka wazazi walioudhuria tukio hilo kwenda kuwa mabalozi kwa wazazi wenye watoto kama hao kuwa wanaweza kupata elimu kama  wengine pamoja na kupata misaada mbalimbali kutoka kwa wadau tofauti.

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO ILIYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 08, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI February 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA February 21, 2024
  • MWALIKO WA ZABUNI KUPANGISHA ENEO KWAAJILI YA MGAHAWA March 08, 2024
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • KASULU DC YAANZISHA SHAMBA DARASA LA VIAZI LISHE KUKABILIANA NA UTAPIAMLO

    June 15, 2025
  • KUU KASULU YAKAGUA MIRADI YA MWENGE

    June 13, 2025
  • MATUMIZI YA ZANA ZA UFUNDISHAJI YATAJWA KUONGEZA UFANISI SHULENI

    June 11, 2025
  • WALIMU SHULE YA MSINGI KISUMA WATOA SHUKRANI KWA WADAU WALIOCHANGIA SARE NA VIFAA KWA WANAFUNZI

    June 05, 2025
  • Angalia Zote

Video

NAIBU WAZIRI OR-UTUMISHI NOV 2022
Video zaidi

KURASA ZA KARIBU

  • PlanRep_Web_Based
  • FFARS Online Manual
  • PlanRep Online Manual
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • safari_Live
  • safaridemo
  • Dashibodi ya Ukusanyaji wa Mapato
  • UNICEF Dashboard
  • Kamusi Eng & Swa

TOVUTI ZINAZOHUSIANA

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • BUNGE
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • ARIDHI
  • OPEN UNIVERSITY
  • PSPTB
  • AJIRA
  • HFR Dashboard
  • KIGOMA DC
  • NACTE
  • NECTA
  • eMrejesho

Kihesabu watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU

    Anuani ya Posta: S.L.P 97

    Simu ya Mezani: +255-028-2810339

    Simu: +255-028-2810339

    Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera Ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma
    • Wasiliana Nasi

Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.