• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kasulu District Council
Kasulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo-Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
      • MRADI WA UMWAGILIAJI TITYE
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Taratibu
    • Huduma Kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Makala
    • Matangazo

SHULE YA SEKONDARI NYENGE YAPATA MSAADA WA VITABU VYENYE THAMANI ZAIDI YA MILIONI 5

Posted on: May 29th, 2024

Na Mwandishi Wetu

Shule ya Sekondari Nyenge iliyopo Kata Kurugongo katika Halamshauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma mapema leo Mei 29, 2024 imepokea vitabu vya kiada kutoka kwa Mdau wa Elimu, Donald  Lugelela vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni kwa lengo la kuboresha masuala ya taaluma shuleni humo.

Akizungumza katika makabidhiano hayo Lugelela amesema kuwa vitabu hivyo vimefanikiwa kufika hapo kupitia Maktaba Kuu ya Tanzania na wadau kama yeye kuvipata kwa ajili ya kuvigawa katika taasisi na shule mbalimbali.

“Vitabu nilivyoleta vinatolewa na Shirika la Book Aid International la nchini Uingereza kupitia Maktaba Kuu ya Tanzania ndio sisi wadau tunavileta kwenye taasisi na shule mbalimbali haviji hapa nchini moja kwa moja vinapitia katika taasisi zinazoeleweka na serikali na vinachambuliwa kabla ya kuanza kusambazwa,” amesema.

Afisa Elimu Sekondari (Taaluma) Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu, Mussa Kanyoe amebainisha kuwa si jambo dogo kwa mtu aliyezaliwa eneo fulani kukumbuka nyumbani kwao na kuleta msaada mkubwa kama huo wenye mashiko utakaosaidia vizazi vingi.

“Shule hii ilianza kujengwa na wananchi wa Nyenge ilipofikia hatua ya Lenta serikali ikachukua mradi tumshukuru sana Mhe. Rais . Dkt. Samia Suluhu Hassan baada ya kuona wazazi wa nyenge wamejitoa akaingiza mkono wake kusaidia jitihada zao na wewe leo (Lugelela) umeunga juhudi zake mkono kwa vitendo,” amesema.

Naye  Mkuu wa Shule hiyo, Akibar Sanga amemshukuru mdau huyo kwa kuunga juhudi za Mhe. Rais . Dkt. Samia Suluhu Hassan anayetilia mkazo suala la watoto wa kitanzania kupata elimu ili waweze kutimiza ndoto zao.

“Binafsi nimshukuru mdau kwa kutuletea vitabu ambavyo vitaongezea watoto wetu maarifa kwasababu ni vitabu vya ziada baada ya kupata vitabu ambavo vimeteuliwa kwa ajili ya ufundishaji wataweza kuongeza maarifa zaidi,” amebainisha.

Katika hatua nyingine Kaka Mkuu wa Shule ya Sekondari Nyenge,Deus Chokero amesema vitabu hivyo vitawasaidia katika kujisomea kwakuwa vimeweka maarifa kwa upana zaidi kitu kinachompa imani katika ufanyaji wao wa mitihani watapata alama nzuri na hivyo kutoa ujinga kwenye taifa.

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO ILIYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 08, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI February 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA February 21, 2024
  • MWALIKO WA ZABUNI KUPANGISHA ENEO KWAAJILI YA MGAHAWA March 08, 2024
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • KASULU DC YAANZISHA SHAMBA DARASA LA VIAZI LISHE KUKABILIANA NA UTAPIAMLO

    June 15, 2025
  • KUU KASULU YAKAGUA MIRADI YA MWENGE

    June 13, 2025
  • MATUMIZI YA ZANA ZA UFUNDISHAJI YATAJWA KUONGEZA UFANISI SHULENI

    June 11, 2025
  • WALIMU SHULE YA MSINGI KISUMA WATOA SHUKRANI KWA WADAU WALIOCHANGIA SARE NA VIFAA KWA WANAFUNZI

    June 05, 2025
  • Angalia Zote

Video

NAIBU WAZIRI OR-UTUMISHI NOV 2022
Video zaidi

KURASA ZA KARIBU

  • PlanRep_Web_Based
  • FFARS Online Manual
  • PlanRep Online Manual
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • safari_Live
  • safaridemo
  • Dashibodi ya Ukusanyaji wa Mapato
  • UNICEF Dashboard
  • Kamusi Eng & Swa

TOVUTI ZINAZOHUSIANA

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • BUNGE
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • ARIDHI
  • OPEN UNIVERSITY
  • PSPTB
  • AJIRA
  • HFR Dashboard
  • KIGOMA DC
  • NACTE
  • NECTA
  • eMrejesho

Kihesabu watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU

    Anuani ya Posta: S.L.P 97

    Simu ya Mezani: +255-028-2810339

    Simu: +255-028-2810339

    Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera Ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma
    • Wasiliana Nasi

Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.