• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kasulu District Council
Kasulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo-Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
      • MRADI WA UMWAGILIAJI TITYE
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Taratibu
    • Huduma Kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Makala
    • Matangazo

SHUGHULI ZA LISHE ZITOE MATOKEO CHANYA-DKT. MASHIMBA

Posted on: November 22nd, 2024

Na Mwandishi Wetu,Kasulu 

Wajumbe wa Kikao cha Mkataba wa Lishe Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kuhakikisha shughuli zote wanazozifanya zinatoa matokeo chanya kwa jamii kuelewa masuala ya lishe.

Rai hiyo imetolewa  leo Ijumaa Novemba 23,2024 na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo,Dkt.Semistatus H.Mashimba wakati alipokuwa anaongoza mjadala kwenye kikao hicho kilichofanyika katika Ukumbi wa Kashushura uliopo katika makao makuu ya halmashauri hiyo.

"Niwaombe viongozi wa dini mtumie vipindi vyenu mnavyofanya mashuleni kuwashawishi suala la lishe wanafunzi ili waweze kufikisha ujumbe huo kwa wazazi wao ni vyakula gani vinafaa kukabiliana na tatizo la udumavu,uzito pungufu na ukondefu," amesema.

Aidha,Dkt.Mashimba amewataka wajumbe hao kushirikiana na wataalam wa lishe kubaini sehemu zilizoathirika zaidi na masuala ya udumavu,ukondefu na uzito pungufu na ikiwezekana watoe ushauri elekezi ni namna gani wanaweza kukabiliana na matatizo hayo.

Afisa Lishe wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu,Anna Njoka  amesema tatizo la udumavu lipo kwa 36%  hasa kwa watoto wenye umri wa miezi 19-36,uzito  pungugu 14.3%  kwa wenye umri wa miezi zaidi ya 18 na ukondefu 6.6% kwa wale walio chini ya miezi 18.

Naye Afisa Elimu Sekondari wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu,Iyogo Isuja amesema mkakati umewekwa wa kuanzisha kitalu cha miche ya zao la  Parachichi ili isambazwe mashuleni kwa ajili ya lishe kwa wanafunzi pamoja na kukuza mapato mashuleni.

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO ILIYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 08, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI February 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA February 21, 2024
  • MWALIKO WA ZABUNI KUPANGISHA ENEO KWAAJILI YA MGAHAWA March 08, 2024
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • KASULU DC YAANZISHA SHAMBA DARASA LA VIAZI LISHE KUKABILIANA NA UTAPIAMLO

    June 15, 2025
  • KUU KASULU YAKAGUA MIRADI YA MWENGE

    June 13, 2025
  • MATUMIZI YA ZANA ZA UFUNDISHAJI YATAJWA KUONGEZA UFANISI SHULENI

    June 11, 2025
  • WALIMU SHULE YA MSINGI KISUMA WATOA SHUKRANI KWA WADAU WALIOCHANGIA SARE NA VIFAA KWA WANAFUNZI

    June 05, 2025
  • Angalia Zote

Video

NAIBU WAZIRI OR-UTUMISHI NOV 2022
Video zaidi

KURASA ZA KARIBU

  • PlanRep_Web_Based
  • FFARS Online Manual
  • PlanRep Online Manual
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • safari_Live
  • safaridemo
  • Dashibodi ya Ukusanyaji wa Mapato
  • UNICEF Dashboard
  • Kamusi Eng & Swa

TOVUTI ZINAZOHUSIANA

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • BUNGE
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • ARIDHI
  • OPEN UNIVERSITY
  • PSPTB
  • AJIRA
  • HFR Dashboard
  • KIGOMA DC
  • NACTE
  • NECTA
  • eMrejesho

Kihesabu watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU

    Anuani ya Posta: S.L.P 97

    Simu ya Mezani: +255-028-2810339

    Simu: +255-028-2810339

    Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera Ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma
    • Wasiliana Nasi

Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.