• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kasulu District Council
Kasulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo-Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
      • MRADI WA UMWAGILIAJI TITYE
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Taratibu
    • Huduma Kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Makala
    • Matangazo

SERIKALI INALIFANYIA KAZI SUALA LA 10% YA MIKOPO KWA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU

Posted on: April 7th, 2024

Imeelezwa kuwa serikali inaendelea kufanyia kazi suala la utoaji wa mikopo ya  10% kwa wanawake, vijana na watu wenye ulemavu ili kutengeneza utaratibu mzuri utakaokuwa na ufanisi.

Hayo yamebainishwa  jana na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kigoma, Mobutu Malima kwenye kilele cha maadhimisho  ya wiki ya wazazi ambayo kimkoa yamefanyika kwenye Kata ya Nyakitonto wilayani Kasulu.

“Serikali ilisitisha mikopo hii baada ya kuona wakinamama ndio walikuwa warejeshaji wakubwa tofauti na makundi mengine hivyo inapanga utaratibu mwingine wa kudhibiti hali hii,” amesema.

Na kuongeza kuwa : “ Halmashauri zote nchini zimekuwa zinaendelea kutenga fedha  na fedha zipo muda wowote utaratibu ukitoka ni namna gani mikopo itolewe fursa zitatangazwa na wananchi wote wajitokeze,”.


 Aidha, Malima amesema kuwa serikali haijalala  katika kupambana na wapiga ramli chonganishi maarufu kama Kamchape na wale wote watakaohusika na vitendo hivyo wakifikishwa katika vyombo vya sheria  itakuwa ni halali yao.


Naye Mwenyeti wa CCM Wilaya ya Kasulu, Mbelwa Chidebwe amewaonya makada wa chama hicho kujiepusha na masuala ya Kamchape kwakuwa yanadhalilisha watu.

“Ukikamatwa na wewe ni kiongozi wa CCM na unashiriki vitendo hivyo vya kitapeli usikanyage katika ofisi za CCM kwasababu tutakuchukulia na wewe ni sehemu ya tatizo nenda katumike huko,” amebainisha.

Awali akizungumza katika sherehe hizo Mwenyekiti wa Wazazi CCM Wilaya ya Kasulu, Selema Wandwi  amewataka vijana kuchangamkia fursa kipindi cha uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kuchukua fomu na kugombea nafasi mbalimbali za uongozi.



Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO ILIYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 08, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI February 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA February 21, 2024
  • MWALIKO WA ZABUNI KUPANGISHA ENEO KWAAJILI YA MGAHAWA March 08, 2024
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • KASULU DC YAANZISHA SHAMBA DARASA LA VIAZI LISHE KUKABILIANA NA UTAPIAMLO

    June 15, 2025
  • KUU KASULU YAKAGUA MIRADI YA MWENGE

    June 13, 2025
  • MATUMIZI YA ZANA ZA UFUNDISHAJI YATAJWA KUONGEZA UFANISI SHULENI

    June 11, 2025
  • WALIMU SHULE YA MSINGI KISUMA WATOA SHUKRANI KWA WADAU WALIOCHANGIA SARE NA VIFAA KWA WANAFUNZI

    June 05, 2025
  • Angalia Zote

Video

NAIBU WAZIRI OR-UTUMISHI NOV 2022
Video zaidi

KURASA ZA KARIBU

  • PlanRep_Web_Based
  • FFARS Online Manual
  • PlanRep Online Manual
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • safari_Live
  • safaridemo
  • Dashibodi ya Ukusanyaji wa Mapato
  • UNICEF Dashboard
  • Kamusi Eng & Swa

TOVUTI ZINAZOHUSIANA

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • BUNGE
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • ARIDHI
  • OPEN UNIVERSITY
  • PSPTB
  • AJIRA
  • HFR Dashboard
  • KIGOMA DC
  • NACTE
  • NECTA
  • eMrejesho

Kihesabu watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU

    Anuani ya Posta: S.L.P 97

    Simu ya Mezani: +255-028-2810339

    Simu: +255-028-2810339

    Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera Ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma
    • Wasiliana Nasi

Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.