• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kasulu District Council
Kasulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo-Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
      • MRADI WA UMWAGILIAJI TITYE
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Taratibu
    • Huduma Kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Makala
    • Matangazo

SERA ENDELEVU CHACHU YA KUDUMU KWA MUUNGANO

Posted on: April 26th, 2024

Na Waandishi Wetu

Imeelezwa kuwa  Tanzania imeweza kufikisha miaka 60 ya Muungano  kutokana na awamu zote za utawala kuwa na sera endelevu kwa kufuatilia kwa karibu changamoto zinazojitokeza na  kuzipatia ufumbuzi.

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Mhe. Thobias Andengenye ameyabainisha hayo leo wakati wa kilele cha maadhimisho  ya sherehe ya miaka 60 ya Muungano ambayo kimkoa yalifanyika katika Uwanja wa Umoja wilayani Kasulu.


“Kupitia Muungano wetu sote ni mashahidi kwamba uchumi wetu umeendelea kuimarika siku hadi siku kutokana  na mazingira na mahusiano mazuri yaliyowekwa na viongozi wetu,” amesema.

Aidha, Andengenye amempongeza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na wa Zanzibar, Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi kwa kazi kubwa wanayoifanya ya kuhakikisha wananchi wanapata maendeleo.


Naye Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma, Hassan Rugwa amesema kuwa katika miaka 60 ya Muungano serikali imeweza kuimarisha   huduma za afya kwa kuboresha miundombinu pamoja na kuwekeza katika vifaa tiba vya kisasa.

“Mkoa wa Kigoma kabla ya miaka 60 ya Muungano tulikuwa na vituo vya afya visivyozidi 11 lakini hivi sasa tuna vituo vya kutolea huduma hizo zaidi ya 230 vinavyojumuisha Hospitali ya Rufaa moja, hospitali za wilaya zaidi ya nane pamoja na vituo vya afya na zahanati zaidi ya 200,” amesema.

Awali akizungumza katika sherehe hizo Mkuu wa Wilaya ya Kasulu, Mhe. Kanali Isaac Mwakisu amesema katika miaka 60 ya Muungano kumekuwa na manufaa mengi ikiwemo kutokuwepo na ubaguzi wa mipaka baina ya Zanzibar na Tanzania Bara.

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO ILIYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 08, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI February 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA February 21, 2024
  • MWALIKO WA ZABUNI KUPANGISHA ENEO KWAAJILI YA MGAHAWA March 08, 2024
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • KASULU DC YAANZISHA SHAMBA DARASA LA VIAZI LISHE KUKABILIANA NA UTAPIAMLO

    June 15, 2025
  • KUU KASULU YAKAGUA MIRADI YA MWENGE

    June 13, 2025
  • MATUMIZI YA ZANA ZA UFUNDISHAJI YATAJWA KUONGEZA UFANISI SHULENI

    June 11, 2025
  • WALIMU SHULE YA MSINGI KISUMA WATOA SHUKRANI KWA WADAU WALIOCHANGIA SARE NA VIFAA KWA WANAFUNZI

    June 05, 2025
  • Angalia Zote

Video

NAIBU WAZIRI OR-UTUMISHI NOV 2022
Video zaidi

KURASA ZA KARIBU

  • PlanRep_Web_Based
  • FFARS Online Manual
  • PlanRep Online Manual
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • safari_Live
  • safaridemo
  • Dashibodi ya Ukusanyaji wa Mapato
  • UNICEF Dashboard
  • Kamusi Eng & Swa

TOVUTI ZINAZOHUSIANA

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • BUNGE
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • ARIDHI
  • OPEN UNIVERSITY
  • PSPTB
  • AJIRA
  • HFR Dashboard
  • KIGOMA DC
  • NACTE
  • NECTA
  • eMrejesho

Kihesabu watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU

    Anuani ya Posta: S.L.P 97

    Simu ya Mezani: +255-028-2810339

    Simu: +255-028-2810339

    Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera Ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma
    • Wasiliana Nasi

Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.