Mh.Poteza Kilali kulia, akiwa na kaimu Mkuu Idara ya ardhi Maliasili na Mazingira John Nzigo mara baada ya kuapishwa rasmi kuwa Diwani wa Kata ya Makere kupitia Chama cha Mapinduzi.(CCM)
Mh. Poteza Kilali akipeana mkono na Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Kasulu Bw. Imani David (Kulia) mara baada ya kuapishwa kuwa Diwani wa Kata ya Makere leo tarehe 31/08/2018 katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu.
HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU
Anuani ya Posta: S.L.P 97
Simu ya Mezani: +255-028-2810339
Simu: +255-028-2810339
Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz
Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.