• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kasulu District Council
Kasulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo-Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
      • MRADI WA UMWAGILIAJI TITYE
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Taratibu
    • Huduma Kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Makala
    • Matangazo

MCHENGERWA ATEMBELEA KASULU DC NA KUSISITIZA VIONGOZI WA WILAYA HIYO KUTILIA MKAZO UTOAJI WA ELIMU YA KUJIUNGA NA BIMA YA AFYA KWA WANANCHI

Posted on: August 14th, 2024

Na Mwandishi Wetu 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Mohamed Mchengerwa  jana Agosti 13,2024 amefanya ziara katika Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma na kufanya mkutano wa adhara na wananchi wa Kata ya Kagera Nkanda ambapo kupitia mkutano huo ametoa maelekezo yafuatayo;

Ameupa muda wa wiki mbili Wakala wa Barabara Vijijini na Mjini Tanzania (TARURA) mkoani humo kufanya tathimini na mapitio kuangalia ni namna gani barabara ya kilomita 18 inayokwenda katika kata hiyo  invyoweza kufanyiwa ukarabati ili iweze kupitika vipindi vyote vya mwaka.

Pia, amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya kwa kushirikiana na wataalam wa afya kutoka TAMISEMI kuhakikisha fedha zinatengwa kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya katika kata hiyo.

“Mkurugenzi wa Afya TAMISEMI na Katibu Mkuu mwakilishi wa Katibu Mkuu ninawaelekeza anzeni mchakato wa kutenga fedha pamoja na halmshauri kutenga fedha na sisi TAMISEMI lazima tutenge fedha ili kuwasaidida wananchi wa Kagera Nkanda waweze kupata Kituo cha Afya,” amesema.

Aidha, amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Kasulu pamoja na viongozi wote wa wilaya hiyo kuhakikisha wanatoa elimu kwa wananchi ili waweze kujiunga na mfumo wa Bima ya Afya ulioboreshwa (CHF) ambao mchango wake ni shilingi 30,000 kwa mwaka inayojumuisha idadi ya watu sita ili wananchi waweze kupata matibabu bila shida.

Vilevile, amewataka wakuu wa mikoa na wilaya kote nchini kuhakikisha wanalinda haki za watanzania kwa kuangalia haki ya mtu mmoja isivuke mipaka ya haki ya mtu mwingine kwakuwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kila siku uwa anasisitiza jambo hilo.

Katika hatua nyingine Mchengerwa ametoa hakikisho kwa wakazi wa kata hiyo kuwa wataalam wa TAMISEMI watafika hapo hivi karibuni kuja kukagua eneo itakapojengwa shule ya kidato cha tano na sita, na taarifa hiyo itakapomfikia mezani mchakato wake utaanza mara moja baada ya kupitiwa na kuthibitishwa na wananchi.

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO ILIYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 08, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI February 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA February 21, 2024
  • MWALIKO WA ZABUNI KUPANGISHA ENEO KWAAJILI YA MGAHAWA March 08, 2024
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • KASULU DC YAANZISHA SHAMBA DARASA LA VIAZI LISHE KUKABILIANA NA UTAPIAMLO

    June 15, 2025
  • KUU KASULU YAKAGUA MIRADI YA MWENGE

    June 13, 2025
  • MATUMIZI YA ZANA ZA UFUNDISHAJI YATAJWA KUONGEZA UFANISI SHULENI

    June 11, 2025
  • WALIMU SHULE YA MSINGI KISUMA WATOA SHUKRANI KWA WADAU WALIOCHANGIA SARE NA VIFAA KWA WANAFUNZI

    June 05, 2025
  • Angalia Zote

Video

NAIBU WAZIRI OR-UTUMISHI NOV 2022
Video zaidi

KURASA ZA KARIBU

  • PlanRep_Web_Based
  • FFARS Online Manual
  • PlanRep Online Manual
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • safari_Live
  • safaridemo
  • Dashibodi ya Ukusanyaji wa Mapato
  • UNICEF Dashboard
  • Kamusi Eng & Swa

TOVUTI ZINAZOHUSIANA

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • BUNGE
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • ARIDHI
  • OPEN UNIVERSITY
  • PSPTB
  • AJIRA
  • HFR Dashboard
  • KIGOMA DC
  • NACTE
  • NECTA
  • eMrejesho

Kihesabu watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU

    Anuani ya Posta: S.L.P 97

    Simu ya Mezani: +255-028-2810339

    Simu: +255-028-2810339

    Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera Ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma
    • Wasiliana Nasi

Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.