Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya kasulu kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa mkoa Kigoma, ilianda mafunzo ya siku moja kwa waheshimiwa madiwani kwa lengo la kuwajengea uwezo katika kutekeleza majukumu yao.
Mafunzo hayo yaliwezeshwa na wataalam kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI na Sekretarieti ya maadili ya viongozi kada ya Tabora.
Pichani ni madiwani wote wa Halmashauri ya wilaya Kasulu pamoja na wakuu wa idara wakifuatilia kwa makini wawezeshaji waliokuwa wakitoa mada.
HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU
Anuani ya Posta: S.L.P 97
Simu ya Mezani: +255-028-2810339
Simu: +255-028-2810339
Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz
Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.