Idara ya Maendeleo ya Jamii kwa kushirikiana na Kitengo cha TEHAMA, walifanya Mafunzo kwa vitendo-kata ya Makere juu ya namna ya usajili wa vikundi na namna ya kuomba mkopo/mikopo kwa njia ya Mtandao.
Jumla ya vikundi 12, viongozi wa maeneo husika na watoa huduma za "stationery" walishiriki.
HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU
Anuani ya Posta: S.L.P 97
Simu ya Mezani: +255-028-2810339
Simu: +255-028-2810339
Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz
Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.