Washiriki wa mafunzo yaliyohusu haki za watu wenye ulemavu yaliyofanyika hivi karibuni kwenye ukumbi wa Aqua Lodge mjini Kigoma yakiwahusisha maofisa mbalimbali kutoka halmashauri ya mji na Wilaya ya kasulu, miongoni mwa washiriki wa mafunzo hayo kutoka halmashauri ya Wilaya ya Kasulu ni Agnes Felson(utawi wa jamii) Respice Swetu(elimu), Nelistela Kihoza(elimu), Focus (elimu) na Gwamaka Mwambete(mipango).
HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU
Anuani ya Posta: S.L.P 97
Simu ya Mezani: +255-028-2810339
Simu: +255-028-2810339
Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz
Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.