Mbunge wa Jimbo la Kasulu Vijijini Mheshimiwa Agustino Vuma Hole (pichani) amewataka madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu kuweka mpango wa kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo iliyopo katika Halmashauri hiyo.
Wito huo ameutoa wakati wa kikao cha kwanza cha baraza la madiwani kilichofanyika katika ukumbi wa Halmashauri hiyo. Amesema kuwa baraza lililopita halikufanya ziara za kutosha kuzungukia miradi na kuishia kuiona baadhi ya miradi katika makaratasi kitu ambacho sio kizuri.
Na Recpice Swetu
Published by G. Msonge
HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU
Anuani ya Posta: S.L.P 97
Simu ya Mezani: +255-028-2810339
Simu: +255-028-2810339
Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz
Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.