• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kasulu District Council
Kasulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo-Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
      • MRADI WA UMWAGILIAJI TITYE
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Taratibu
    • Huduma Kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Makala
    • Matangazo

MADIWANI WAAZIMIA KULIGAWA JIMBO LA KASULU VIJIJINI

Posted on: March 12th, 2025

Na Mwandishi Wetu

 Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu leo Jumatano Machi 12,2025 limeridhia pendekezo la kuanzishwa jimbo jipya ambapo mchakato wake ukikamilika katika ngazi za juu kutakuwa na majimbo mawili ya Makere na Buyonga.

Ambapo kupitia maazimio hayo kutakuwa na ongezeko la Kata tano za Kabulanzwili, Nyenge na Nyakafyeke zitakazokuwa Jimbo la Buyonga huku zile za Kitema na Mnarani zitahusika na Jimbo la Makere.

Akizungumza  katika Mkutano Maalum wa Baraza hilo uliofanyika katika Ukumbi wa Kagoma uliopo Makao Makuu ya Halmashauri Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, Mhe. Laurent Poteza amesema kuwa maazimio hayo yatasaidia kuimarisha uwakilishi wa wananchi katika Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Naye Mbunge wa Jimbo la Kasulu Vijijini, Mhe. Agustino Vuma Holle amebainisha kuwa iwapo azma yao itafanikiwa itasaidia kupunguza mzigo wa kiutawala,kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi pamoja na ugawaji wa bajeti kwa ufanisi tofauti na sasa kutokana na jimbo hilo kuwa na eneo kubwa la kiutawala.

Awali akizungumza katika tukio hilo Afisa Uchaguzi wa Halmshauri  hiyo, Komesha Kaminyoge  amesema kuwa baada ya menejimenti  kuchunguza na kupokea maoni mbalimbali  kutoka kwa wadau imeona kuna haja ya kuwasilisha mambo hayo  katika  mkutano huo maalum.

Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu ni moja kati ya mbili zilizopo ndani ya Wilaya ya Kasulu ikiwa na jimbo moja la Kasulu vijijini,Tarafa Nne, Kata 21, Vijiji 61 na vitongoji 283 huku likiwa na Kilomita za mraba 7,081.

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO ILIYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 08, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI February 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA February 21, 2024
  • MWALIKO WA ZABUNI KUPANGISHA ENEO KWAAJILI YA MGAHAWA March 08, 2024
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • KASULU DC YAANZISHA SHAMBA DARASA LA VIAZI LISHE KUKABILIANA NA UTAPIAMLO

    June 15, 2025
  • KUU KASULU YAKAGUA MIRADI YA MWENGE

    June 13, 2025
  • MATUMIZI YA ZANA ZA UFUNDISHAJI YATAJWA KUONGEZA UFANISI SHULENI

    June 11, 2025
  • WALIMU SHULE YA MSINGI KISUMA WATOA SHUKRANI KWA WADAU WALIOCHANGIA SARE NA VIFAA KWA WANAFUNZI

    June 05, 2025
  • Angalia Zote

Video

NAIBU WAZIRI OR-UTUMISHI NOV 2022
Video zaidi

KURASA ZA KARIBU

  • PlanRep_Web_Based
  • FFARS Online Manual
  • PlanRep Online Manual
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • safari_Live
  • safaridemo
  • Dashibodi ya Ukusanyaji wa Mapato
  • UNICEF Dashboard
  • Kamusi Eng & Swa

TOVUTI ZINAZOHUSIANA

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • BUNGE
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • ARIDHI
  • OPEN UNIVERSITY
  • PSPTB
  • AJIRA
  • HFR Dashboard
  • KIGOMA DC
  • NACTE
  • NECTA
  • eMrejesho

Kihesabu watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU

    Anuani ya Posta: S.L.P 97

    Simu ya Mezani: +255-028-2810339

    Simu: +255-028-2810339

    Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera Ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma
    • Wasiliana Nasi

Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.