• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kasulu District Council
Kasulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo-Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
      • MRADI WA UMWAGILIAJI TITYE
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Taratibu
    • Huduma Kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Makala
    • Matangazo

MAAFISA UANDIKISHAJI WATAKIWA KUJIEPUSHA NA ATHARI ZITOKANAZO NA KUTO TUNZA VIFAA VYA UANDIKISHAJI

Posted on: July 16th, 2024


Na Mwandishi Wetu


Maafisa Waandikishaji wasaidizi Ngazi ya Kata wametakiwa kuongeza umakini katika utunzaji wa vifaa vya uandikishaji kwani kwa kutofanya hivyo kutapelekea athari kubwa katika ukamilisaji wa zoezi hilo muhimu.


Kauli hiyo imetolewa na Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Kasulu Vijiji, Emmanuel Ladislaus alipokuwa akifunga mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari La Kudumu la Wapiga Kura jana Julai 14, 2024.


Na kuwataka  maafisa hao kulitekeleza zoezi hilo kwa weledi ikiwemo kuzingatia muda wa kufungua na kufunga vituo vya wapiga kura.

Aidha, amesisitiza kuzingatia matumizi mazuri ya lugha kwa wananchi wanapofika katika vituo hivyo kwani kwa kufanya hivyo itakua ni hamasa kwa wananchi kujitokeza kwa wingi katika uandikishaji na kusaidia kazi kufanyika kwa unadhifu na haki.


“Nendeni mkafanye kazi kwa busara na hekima hakikisheni mnakuwa na matumizi ya lugha nzuri katika utekelezaji wa majukumu yenu huku mkifuata maelekezo na miongozo yote ya tume ili kazi yenu ifanyike kwa haki na unadhifu”,amesema Ladislaus.


Kwa upande wake Afisa Mwandamizi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Amos Madaha amewataka Maafisa hao kuhakikisha wanazingatia muda kwani katika kuhakikisha zoezi hilo halikwami.

“Kama mnavyofahamu zoezi hili linaenda na ratiba vituo vifunguliwe kwa muda maalum na kufungwa katika wakati maalumu ili Halmashauri yetu iendelee kuwa mfano mzuri kati ya halmashauri 8 zilizopo katika Mkoa wa Kigoma”, amesema Madaha.


Zoezi la Uboreshaji  la Daftari la Kudumu la Wapiga Kura linatarajiwa kufunguliwa Kitaifa kwa awamu ya kwanza katika mkoa wa Kigoma, na zoezi hilo litafanyika katika mkoani humo pamoja na mikoa ya Tabora na Katavi kuanzia tarehe Julai 20-26, 2024.

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO ILIYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 08, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI February 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA February 21, 2024
  • MWALIKO WA ZABUNI KUPANGISHA ENEO KWAAJILI YA MGAHAWA March 08, 2024
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • KASULU DC YAANZISHA SHAMBA DARASA LA VIAZI LISHE KUKABILIANA NA UTAPIAMLO

    June 15, 2025
  • KUU KASULU YAKAGUA MIRADI YA MWENGE

    June 13, 2025
  • MATUMIZI YA ZANA ZA UFUNDISHAJI YATAJWA KUONGEZA UFANISI SHULENI

    June 11, 2025
  • WALIMU SHULE YA MSINGI KISUMA WATOA SHUKRANI KWA WADAU WALIOCHANGIA SARE NA VIFAA KWA WANAFUNZI

    June 05, 2025
  • Angalia Zote

Video

NAIBU WAZIRI OR-UTUMISHI NOV 2022
Video zaidi

KURASA ZA KARIBU

  • PlanRep_Web_Based
  • FFARS Online Manual
  • PlanRep Online Manual
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • safari_Live
  • safaridemo
  • Dashibodi ya Ukusanyaji wa Mapato
  • UNICEF Dashboard
  • Kamusi Eng & Swa

TOVUTI ZINAZOHUSIANA

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • BUNGE
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • ARIDHI
  • OPEN UNIVERSITY
  • PSPTB
  • AJIRA
  • HFR Dashboard
  • KIGOMA DC
  • NACTE
  • NECTA
  • eMrejesho

Kihesabu watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU

    Anuani ya Posta: S.L.P 97

    Simu ya Mezani: +255-028-2810339

    Simu: +255-028-2810339

    Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera Ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma
    • Wasiliana Nasi

Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.