• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kasulu District Council
Kasulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo-Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
      • MRADI WA UMWAGILIAJI TITYE
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Taratibu
    • Huduma Kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Makala
    • Matangazo

LEO NI SIKU YA USAFI SEHEMU ZA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA WILAYANI KASULU

Posted on: April 20th, 2024

Na Mwandishi Wetu 

Viongozi wa kada ya afya  wilayani Kasulu mkoani Kigoma wameagizwa kufanya usafi wa kina katika vituo vyao vya kazi siku ya leo Jumamosi shughuli itakayochukuliwa kama uzinduzi kuelekea kilele cha maadhimisho ya Sikukuu ya Muungano.

Agizo hilo limetolewa jana na Mkuu wa Wilaya ya Kasulu, Mhe. Kanali  Isaac Mwakisu alipoongoza kikao kazi cha watumishi viongozi wa kada ya afya wilayani humo.

“Nitakapokuta watu wanafanya usafi hata wakiwa wawili nitaungana nao na kutamka uzinduzi rasmi kuelekea kilele cha maadhimisho ya Sikukuu ya Muungano nataka niwakute watu wapo ‘field’ hivyo sisemi nitakwenda wapi,” amesema.

Na kuongeza kuwa : “ Leo (jana) kazi hii nimeifanya Buhigwe wameanza kwa kupanda miti bahati nzuri tumepata wafadhili kutoka Jeshi la Uhamiaji ambalo limetoa miti 700 inayojumuisha 500 ya kivuli na 200 ya matunda,”. 

Katibu Tawala wa Wilaya hiyo, Theresia Mtewele amewata watumishi wa kada ya afya kutumia ushawishi waliokuwa nao katika jamii kuwatoa watu upofu wa kujihusisha na masuala ya ramli chonganishi maarufu kama Kamchape au Lambalamba.

“Pale Shunguliba mwenzetu amepata madhara ameathirika kisaikolojia na kusababisha idadi ya wagonjwa kwenda pale kupungua hii hatutaki itokee maeneo mengine mwezio akipata tatizo mtie moyo na si kuanza kumdhiaki,” amebainisha.

 Naye mwakilishi wa Jeshi la Zimamoto Konstebo, Chrisropher Moses ameshauri maeneo ya kutolea huduma za afya kuwa na vifaa vya awali vya kuzimia moto kwakuwa vinakuwa kama huduma ya kwanza sehemu ambayo dharura ya moto ikijitokeza.


Kwa upande wake Katibu wa Afya Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu, Mphubusa Toyi amesistiza suala la kuwajengea uwezo watumishi wachanga wanaosimamia vituo vya afya ili wafanye kazi  kwa kufuata sheria, kanuni na taratibu zilizopo.

 Katika hatua nyingine  Afisa Afya wa Halmshauri ya Kasulu Mji,Malimi Ntemisemi amesema kuwa sehemu zinazotoa huduma za afya zinatakiwa kuwa na vyoo bora vinavyokuwa katika hali ya usafi muda wote.

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO ILIYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 08, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI February 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA February 21, 2024
  • MWALIKO WA ZABUNI KUPANGISHA ENEO KWAAJILI YA MGAHAWA March 08, 2024
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • KASULU DC YAANZISHA SHAMBA DARASA LA VIAZI LISHE KUKABILIANA NA UTAPIAMLO

    June 15, 2025
  • KUU KASULU YAKAGUA MIRADI YA MWENGE

    June 13, 2025
  • MATUMIZI YA ZANA ZA UFUNDISHAJI YATAJWA KUONGEZA UFANISI SHULENI

    June 11, 2025
  • WALIMU SHULE YA MSINGI KISUMA WATOA SHUKRANI KWA WADAU WALIOCHANGIA SARE NA VIFAA KWA WANAFUNZI

    June 05, 2025
  • Angalia Zote

Video

NAIBU WAZIRI OR-UTUMISHI NOV 2022
Video zaidi

KURASA ZA KARIBU

  • PlanRep_Web_Based
  • FFARS Online Manual
  • PlanRep Online Manual
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • safari_Live
  • safaridemo
  • Dashibodi ya Ukusanyaji wa Mapato
  • UNICEF Dashboard
  • Kamusi Eng & Swa

TOVUTI ZINAZOHUSIANA

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • BUNGE
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • ARIDHI
  • OPEN UNIVERSITY
  • PSPTB
  • AJIRA
  • HFR Dashboard
  • KIGOMA DC
  • NACTE
  • NECTA
  • eMrejesho

Kihesabu watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU

    Anuani ya Posta: S.L.P 97

    Simu ya Mezani: +255-028-2810339

    Simu: +255-028-2810339

    Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera Ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma
    • Wasiliana Nasi

Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.