• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kasulu District Council
Kasulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo-Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
      • MRADI WA UMWAGILIAJI TITYE
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Taratibu
    • Huduma Kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Makala
    • Matangazo

KUU WARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI KASULU DC

Posted on: April 19th, 2024

Na Mwandishi Wetu 

Kamati ya Ulinzi na Usalama (KUU) Wilaya ya Kasulu chini ya uenyekiti wa Mkuu wa Wilaya hiyo, Mhe. Kanali Isaac Mwakisu imeridhishwa na utekelezaji wa miradi  mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu.

Kamati hiyo ilifanya ziara siku ya jana kukagua utekelezaji ujenzi wa miradi ya maendeleo katika Shule ya Msingi Kalela ,Shule za Sekondari Kamuganza, kabagwe na Nkundusi pamoja na mradi wa maji wa Rusesa.

Akizungumza wakati wa ziara hiyo Mwakisu amebainisha kuwa ameridhishwa na namna mafundi wanaotekeleza ujenzi wa miradi hiyo wanavyoifanya kwa weledi  kitu kinachompa imani kuwa itakamilika vizuri.

 

“Lipo tatizo moja la watendaji wetu kuwa na masuala mengi ya michakato badala ya kutenda kazi na kusababisha ucheleweshwaji wa vifaa kwakuwa tunaitekeleza kupitia ‘Force Account’ hivyo lazima wachangamke ili miradi iweze kukaa sawa,” amesema.

Aidha, amesisitiza wananchi kushirikishwa katika kuchangia masuala mbalimbali ya maendeleo kwakuwa kuna mazingira mengine serikali inashindwa kukamilisha kila kitu.


“Kuna mazingira mengine serikali inashindwa kukamilisha kila kitu ni wajibu wetu kuchangia ili tuweze kuisaidia serikali kwenye baadhi ya mambo na mimi ndio mtu pekee ninayeweza kuidhinisha kitu chochote wazazi wanachoweza kuchangia,” amebainisha.

Katibu Tawala wa Wilaya ya Kasulu, Theresia Mtewele amesema kuwa  kumekuwa na utaratibu wa kukagua miradi zaidi ya mara moja kwa mwezi, kuangazia namna ya kuiboresha na kuikamilisha kwa wakati ili iweze kuleta tija katika jamii kama serikali ilivyokusudia.

“Niwaombe wasimamizi wa miradi wasisubiri ‘materials’ ziishe ndio waanze mchakato wa manunuzi, mifumo ya serikali ina utaratibu wake wakienda kwa wakati kwakujiongeza inasaidia upatikanaji wa vifaa kwa wakati,” amebainisha.

Katika hatua nyingine Theresia amemshukuru Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kuleta miradi mingi ya maendeleo katika wilaya hiyo  hasa kwenye Halmshauri ya Wilaya ya Kasulu.

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO ILIYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 08, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI February 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA February 21, 2024
  • MWALIKO WA ZABUNI KUPANGISHA ENEO KWAAJILI YA MGAHAWA March 08, 2024
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • KASULU DC YAANZISHA SHAMBA DARASA LA VIAZI LISHE KUKABILIANA NA UTAPIAMLO

    June 15, 2025
  • KUU KASULU YAKAGUA MIRADI YA MWENGE

    June 13, 2025
  • MATUMIZI YA ZANA ZA UFUNDISHAJI YATAJWA KUONGEZA UFANISI SHULENI

    June 11, 2025
  • WALIMU SHULE YA MSINGI KISUMA WATOA SHUKRANI KWA WADAU WALIOCHANGIA SARE NA VIFAA KWA WANAFUNZI

    June 05, 2025
  • Angalia Zote

Video

NAIBU WAZIRI OR-UTUMISHI NOV 2022
Video zaidi

KURASA ZA KARIBU

  • PlanRep_Web_Based
  • FFARS Online Manual
  • PlanRep Online Manual
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • safari_Live
  • safaridemo
  • Dashibodi ya Ukusanyaji wa Mapato
  • UNICEF Dashboard
  • Kamusi Eng & Swa

TOVUTI ZINAZOHUSIANA

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • BUNGE
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • ARIDHI
  • OPEN UNIVERSITY
  • PSPTB
  • AJIRA
  • HFR Dashboard
  • KIGOMA DC
  • NACTE
  • NECTA
  • eMrejesho

Kihesabu watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU

    Anuani ya Posta: S.L.P 97

    Simu ya Mezani: +255-028-2810339

    Simu: +255-028-2810339

    Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera Ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma
    • Wasiliana Nasi

Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.