• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kasulu District Council
Kasulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo-Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
      • MRADI WA UMWAGILIAJI TITYE
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Taratibu
    • Huduma Kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Makala
    • Matangazo

KASULU DC YAVUKA LENGO UKUSANYAJI WA MAPATO KABLA YA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 KUISHA

Posted on: June 2nd, 2024

Na Mwandishi  Wetu

Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma imefanikiwa kuvuka lengo la ukusanyaji  wa mapato ya ndani kiasi cha shilingi Bil 2.56 sawa na 104% tofauti na makisio ya awali yaliyokuwa shilingi Bil 2.4 kwa mwaka wa fedha 2023/2024 ulioanza Julai 1, 2023.

Mapato hayo yametokana na ushuru wa mazao, ukodishaji wa mashamba, ushuru wa huduma, uchangiaji wa huduma za afya na vyanzo vingine vya mapato.

Hayo yamebainishwa leo  Juni 2, 2024 wilayani humo na Mweka Hazina wa Halmashauri hiyo, Sarah Kibona  alipozungumza na mwandishi wetu na kubainisha kuwa mafanikio hayo yamefikiwa kutokana na ushirikiano mkubwa uliokuwepo kati ya halmashauri na wadau wake muhimu pamoja na viongozi wa Wilaya ya Kasulu.

Aidha, Kibona amempongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu, Dkt. Semistatus H. Mashimba kwa kuongeza mapato kwa 24% katika kipindi cha miezi miwili toka alipofika kutoka 80% hadi kufikia 104%.

“Mkurugenzi toka alipofika kwa kipindi kifupi alitilia mkazo suala la ufuatiliaji na kuimarisha doria ili kuzuia mianya ya upotevu wa mapato, amenunua mashine za kukusanyia mapato POS 40 na idadi yake kufikia 75 zilizosaidia walipa ushuru kuongezeka, kutolewa elimu na uhamasishaji  kwa wakulima kujihusisha na kilimo cha chakula na biashara na utumiaji wa Mfumo Mpya wa Ukusanyaji Mapato Serikalini (TAUSI) kuhakikisha unatumika ipasavyo,” amesema.

Katika hatua nyingine Mweka Hazina amesema kuwa ana imani asilimia hiyo itaongezeka kabla ya mwaka wa fedha 2023/2024 kuisha kutokana na mikakati madhubuti  iliyowekwa na kuwapongeza  watumishi wote wa halmashauri hiyo kwa kazi kubwa waliyoifanya hadi mafanikio hayo kupatikana.

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO ILIYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 08, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI February 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA February 21, 2024
  • MWALIKO WA ZABUNI KUPANGISHA ENEO KWAAJILI YA MGAHAWA March 08, 2024
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • KASULU DC YAANZISHA SHAMBA DARASA LA VIAZI LISHE KUKABILIANA NA UTAPIAMLO

    June 15, 2025
  • KUU KASULU YAKAGUA MIRADI YA MWENGE

    June 13, 2025
  • MATUMIZI YA ZANA ZA UFUNDISHAJI YATAJWA KUONGEZA UFANISI SHULENI

    June 11, 2025
  • WALIMU SHULE YA MSINGI KISUMA WATOA SHUKRANI KWA WADAU WALIOCHANGIA SARE NA VIFAA KWA WANAFUNZI

    June 05, 2025
  • Angalia Zote

Video

NAIBU WAZIRI OR-UTUMISHI NOV 2022
Video zaidi

KURASA ZA KARIBU

  • PlanRep_Web_Based
  • FFARS Online Manual
  • PlanRep Online Manual
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • safari_Live
  • safaridemo
  • Dashibodi ya Ukusanyaji wa Mapato
  • UNICEF Dashboard
  • Kamusi Eng & Swa

TOVUTI ZINAZOHUSIANA

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • BUNGE
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • ARIDHI
  • OPEN UNIVERSITY
  • PSPTB
  • AJIRA
  • HFR Dashboard
  • KIGOMA DC
  • NACTE
  • NECTA
  • eMrejesho

Kihesabu watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU

    Anuani ya Posta: S.L.P 97

    Simu ya Mezani: +255-028-2810339

    Simu: +255-028-2810339

    Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera Ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma
    • Wasiliana Nasi

Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.