• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kasulu District Council
Kasulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo-Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
      • MRADI WA UMWAGILIAJI TITYE
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Taratibu
    • Huduma Kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Makala
    • Matangazo

KASULU DC YATOA MREJESHO KWA WANANCHI WA UTEKELEZAJI WA AGIZO LA MAKAMU WA RAIS LILILOTAKA WAKAZI WA NYAKITONTO KUPATA HUDUMA YA MAJI

Posted on: August 22nd, 2024

Na Mwandishi Wetu 

Serikali imetoa mrejesho wa utekelezaji wa agizo la Makamu wa Rais, Mhe. Dkt. Philip Mpango lililotaka  uchimbwaji wa kisima kufanyika mara moja ili wananchi wa Kata ya Nyakitonto waondokane na changamoto ya upungufu wa huduma ya maji safi na salama kwa ajili ya matumizi yao majumbani.

Akizungumzia utekelezaji wa agizo hilo siku ya leo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, Dkt. Semistatus H. Mashimba ameupongeza Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) wilayani humo kwa namna walivyotekeleza agizo hilo kwa wakati ili kusogeza  karibu huduma hiyo muhimu kwa wananchi.

Na kuongeza kuwa hatua ya kwanza ya uchimbaji wa kisima tayari imeshakamilika na utekelezaji wa hatua ya pili unasubiri fedha kutoka serikali kuu ili uwekwaji wa miundombinu uweze kufanyika.

 

“Tuliona ni busara kuwaeleza agizo namba moja tayari limeshatekelezwa kwamba kisima kimeshachimbwa lakini lingine  kwasababu tunatekeleza miradi hii kwa hatua  sasa hivi tunasubiri fedha kutoka serikali kuu zije kuweka miundombinu kuhakikisha tunafikisha maji kwa wananchi,” amesema.

 

Meneja wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Wilaya ya Kasulu,Edward Kisalu amesema kuwa baada ya uchimbaji wa kisima hatua inayofuta itakuwa ni kuweka pampu ya kuvuta maji, na kufunga mabomba ili maji yaweze kuelekea kwenye tangi.

Naye  Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kata hiyo, Daniel Maforo amempongeza Mkurugenzi  kwa utekelezaji wa ilani ya chama hicho pamoja na moyo wake wa kujitoa mara kwa mara wa kuja kusikiliza kero mbalimbali za wananchi katika eneo hilo.

Mmoja wa wananchi waliodhuria tukio hilo, Tegemeo Raulenti  amewaasa wakazi wa kata hiyo kuwa wavumilivu mchakato huo unapoendelea kwakuwa uwekaji wa miundombinu ya maji wa RUWASA ni tofauti na ile waliyoizoea ya serikali za vijiji kwakuwa inalenga kuhudumia idadi kubwa ya watu.


Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO ILIYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 08, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI February 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA February 21, 2024
  • MWALIKO WA ZABUNI KUPANGISHA ENEO KWAAJILI YA MGAHAWA March 08, 2024
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • KASULU DC YAANZISHA SHAMBA DARASA LA VIAZI LISHE KUKABILIANA NA UTAPIAMLO

    June 15, 2025
  • KUU KASULU YAKAGUA MIRADI YA MWENGE

    June 13, 2025
  • MATUMIZI YA ZANA ZA UFUNDISHAJI YATAJWA KUONGEZA UFANISI SHULENI

    June 11, 2025
  • WALIMU SHULE YA MSINGI KISUMA WATOA SHUKRANI KWA WADAU WALIOCHANGIA SARE NA VIFAA KWA WANAFUNZI

    June 05, 2025
  • Angalia Zote

Video

NAIBU WAZIRI OR-UTUMISHI NOV 2022
Video zaidi

KURASA ZA KARIBU

  • PlanRep_Web_Based
  • FFARS Online Manual
  • PlanRep Online Manual
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • safari_Live
  • safaridemo
  • Dashibodi ya Ukusanyaji wa Mapato
  • UNICEF Dashboard
  • Kamusi Eng & Swa

TOVUTI ZINAZOHUSIANA

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • BUNGE
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • ARIDHI
  • OPEN UNIVERSITY
  • PSPTB
  • AJIRA
  • HFR Dashboard
  • KIGOMA DC
  • NACTE
  • NECTA
  • eMrejesho

Kihesabu watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU

    Anuani ya Posta: S.L.P 97

    Simu ya Mezani: +255-028-2810339

    Simu: +255-028-2810339

    Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera Ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma
    • Wasiliana Nasi

Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.