Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu yatenga bajeti ya shilingi milioni 40 za kitanzania zilizotokana na mapato ya ndani kwaajili ya kuanzisha shule nzuri ya Kisasa ya awali na msingi yenye mtaala wa kingereza ifikapo Januari 2023 kwa awamu ya kwanza
Fedha zitatumika kwaajili ya kukarabati eneo lililokuwa kambi ya Mkandarasi katika Kijiji cha Muzye ambalo Halmashauri hiyo ilikabidhiwa baada ya ujenzi wa barabara ya kutoka kasulu kwenda kigoma kukamilika.
HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU
Anuani ya Posta: S.L.P 97
Simu ya Mezani: +255-028-2810339
Simu: +255-028-2810339
Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz
Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.