• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kasulu District Council
Kasulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo-Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
      • MRADI WA UMWAGILIAJI TITYE
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Taratibu
    • Huduma Kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Makala
    • Matangazo

JKZ IMELENGA KUWAJENGEA UWEZO WENYE MAMLAKA KWENYE ELIMU

Posted on: January 27th, 2025

Na Mwandishi Wetu, Kasulu

Jumuiya za Kujifunza kwa Walimu Wakuu na Maafisa Elimu Kata  (JZK) zimelenga kuwajengea uwezo viongozi wenye mamlaka kwenye mazingira wanayoyaongoza ili waweze kufikia malengo ya Dira ya Elimu ya Taifa ya Mwaka 2025.

Hayo yamebainishwa leo   wilayani Kasulu na Mwezeshaji  Kiongozi, Japhet Kidawi wakati wa ufunguzi wa  mafunzo ya siku tatu  ya  JZK kwa maafisa elimu kata na walimu wakuu wa halmashauri ya Wilaya ya Kasulu  yanayofanyika katika Chuo Cha Ualimu Kabanga.

“Mafunzo haya  yanatolewa kupitia Mradi wa Shule Bora ambao una afua mbalimbali zikiwemo ujifunzaji na ufundishaji ambapo JZK inapatikana humo ,” amesema.

Ameongeza : “inayolenga kumpa uwezo kiongozi ambaye ni msimamizi ili  kufikia malengo ya Dira ya Elimu ya Mwaka 2025 inayosisitiza elimu bora na jumuishi inayolenga kumbadilisha mtu aweze kubuni, kujitambua,kuhoji,kudadisi,kupenda kazi na kuwa na mwenendo unaostahili,” ameeleza Kidawi.

Naye Afisa Elimu Taaluma Msingi wa Halmashauri hiyo,Joseph Maiga amesema kuwa lengo kubwa la mafunzo hayo ni kubaini changamoto zinazotoka shule moja kwenda nyingine kuona ni namna viongozi wa elimu wa maeneo hayo watakavyosaidiana kuzitatua.

“Unaweza kukuta katika Kata moja kuna shule kumi huku tano ndio zinafanya vizuri sana kwenye ufaulu kwahiyo wanapokutana viongozi wa elimu wanaweza kupeana uzoefu kwa wale ambao hawafanyi vizuri ili nao waongeze ufaulu,” amesema.

Kwa upande wake Afisa Elimu wa Kata ya Kwaga, Rebeca Bitebu amesema kuwa Kupitia mafunzo hayo amepata ujuzi mpya hasa kwenye suala zima la utatuzi wa changamoto za suala zima la usimamizi na ujifunzaji kwenye elimu.

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO ILIYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 08, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI February 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA February 21, 2024
  • MWALIKO WA ZABUNI KUPANGISHA ENEO KWAAJILI YA MGAHAWA March 08, 2024
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • KASULU DC YAANZISHA SHAMBA DARASA LA VIAZI LISHE KUKABILIANA NA UTAPIAMLO

    June 15, 2025
  • KUU KASULU YAKAGUA MIRADI YA MWENGE

    June 13, 2025
  • MATUMIZI YA ZANA ZA UFUNDISHAJI YATAJWA KUONGEZA UFANISI SHULENI

    June 11, 2025
  • WALIMU SHULE YA MSINGI KISUMA WATOA SHUKRANI KWA WADAU WALIOCHANGIA SARE NA VIFAA KWA WANAFUNZI

    June 05, 2025
  • Angalia Zote

Video

NAIBU WAZIRI OR-UTUMISHI NOV 2022
Video zaidi

KURASA ZA KARIBU

  • PlanRep_Web_Based
  • FFARS Online Manual
  • PlanRep Online Manual
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • safari_Live
  • safaridemo
  • Dashibodi ya Ukusanyaji wa Mapato
  • UNICEF Dashboard
  • Kamusi Eng & Swa

TOVUTI ZINAZOHUSIANA

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • BUNGE
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • ARIDHI
  • OPEN UNIVERSITY
  • PSPTB
  • AJIRA
  • HFR Dashboard
  • KIGOMA DC
  • NACTE
  • NECTA
  • eMrejesho

Kihesabu watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU

    Anuani ya Posta: S.L.P 97

    Simu ya Mezani: +255-028-2810339

    Simu: +255-028-2810339

    Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera Ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma
    • Wasiliana Nasi

Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.