• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kasulu District Council
Kasulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo-Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
      • MRADI WA UMWAGILIAJI TITYE
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Taratibu
    • Huduma Kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Makala
    • Matangazo

JIKO MATAWI TIBA YA UHARIBIFU WA MAZINGIRA

Posted on: November 6th, 2024

Na Mwandishi Wetu 

Imeelezwa kuwa utumiaji wa majiko matawi utasaidia kwa kiasi kikubwa utunzaji  wa mazingira kwa kupunguza matumizi ya mkaa na kuni kitu kitakachopelekea uharibifuu wa mazingira uliokithiri   kupungua.

Hayo yamebainishwa leo na Diwani wa Kata ya Rusesa iliyopo Halmshauri ya Wilaya ya Kasulu,Fabiano Dolagi alipokuwa mgeni rasmi wakati wa Uzinduzi wa Kituo cha Majiko Sanifu katika kata hiyo mradi unaofadhiliwa na Shirika lisilo la Kiserikali la NSV.

“Jiko Matawi ni jiko zuri linasaidia kutunza mazingira kwakuwa linatumia mkaa na kuni kidogo,gunia moja la mkaa mtu anaweza kulitumia hadi miezi mitatu ambapo siku za nyuma gunia moja mtu alikuwa analitumia wiki moja au mbili hivyo majiko haya ynatupeleka katika uchumi mzuri,” amesema.

Aidha,Dolagi ameishukuru Divisheni ya Maendeleo ya Jamii katika halmshauri hiyo kwa kuiteua kata anayoiongoza kuwa mojawapo ya kata mbili mradi huo utakapoanza kutekelezwa kati ya 21 zilizopo.

Naye Mratibu wa Progamu ya Mabadiliko ya Tabia SNV Wilaya ya Kasulu,Rozalia Mushi amesema  Ubunifu wa majiko hayo ni njia moajawapo ya kuunga juhudi za serikali katika   utunzaji wa mazingira kwa kuihimiza jamii kuhamia kwenye nishati safi.

Afisa Maendeleo Mwandamizi Halmshauri ya Wilaya ya Kasulu, Subira Swai amesema kuwa  majiko hayo yatapunguza gharama za nishati kwa familia pamoja na kuboresha afya zao hasa mama na mtoto kwa kuwapunguzia adha ya moshi unaotokana na matumizi ya nishati chafu.

Awali akimkaribisha mgeni rasmi Afisa Tarafa ya Buyonga, Paul Ramadhan alibainisha kuwa mradi huo utaenda kutatua tatizo la uharibifu wa mazingira kwa kupunguza  matumizi makubwa  ya kuni na mkaa.

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO ILIYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 08, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI February 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA February 21, 2024
  • MWALIKO WA ZABUNI KUPANGISHA ENEO KWAAJILI YA MGAHAWA March 08, 2024
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • KASULU DC YAANZISHA SHAMBA DARASA LA VIAZI LISHE KUKABILIANA NA UTAPIAMLO

    June 15, 2025
  • KUU KASULU YAKAGUA MIRADI YA MWENGE

    June 13, 2025
  • MATUMIZI YA ZANA ZA UFUNDISHAJI YATAJWA KUONGEZA UFANISI SHULENI

    June 11, 2025
  • WALIMU SHULE YA MSINGI KISUMA WATOA SHUKRANI KWA WADAU WALIOCHANGIA SARE NA VIFAA KWA WANAFUNZI

    June 05, 2025
  • Angalia Zote

Video

NAIBU WAZIRI OR-UTUMISHI NOV 2022
Video zaidi

KURASA ZA KARIBU

  • PlanRep_Web_Based
  • FFARS Online Manual
  • PlanRep Online Manual
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • safari_Live
  • safaridemo
  • Dashibodi ya Ukusanyaji wa Mapato
  • UNICEF Dashboard
  • Kamusi Eng & Swa

TOVUTI ZINAZOHUSIANA

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • BUNGE
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • ARIDHI
  • OPEN UNIVERSITY
  • PSPTB
  • AJIRA
  • HFR Dashboard
  • KIGOMA DC
  • NACTE
  • NECTA
  • eMrejesho

Kihesabu watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU

    Anuani ya Posta: S.L.P 97

    Simu ya Mezani: +255-028-2810339

    Simu: +255-028-2810339

    Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera Ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma
    • Wasiliana Nasi

Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.