• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kasulu District Council
Kasulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo-Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
      • MRADI WA UMWAGILIAJI TITYE
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Taratibu
    • Huduma Kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Makala
    • Matangazo

CHEKENYA YAPONGEZWA UJENZI WA ZAHANATI

Posted on: October 12th, 2023

Na Mwandishi Wetu

Wakazi wa kijiji cha Chekenya kata ya Kurugongo wamepongezwa kwa ujenzi wa Zahati kubwa na ya kisasa ya kijiji chao ikiwa ni hatua muhimu ya kusogeza huduma za afya karibu na maeneo wanayoishi.

Pongezi hizo zimetolewa jana na wajumbe wa Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma walipofanya ziara katika kata hiyo iliyokuwa na lengo la kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo.

Akizungumza katika ziara hiyo Afisa Usafi na Udhibiti wa Taka wa halmashauri hiyo, Ndelekwa Vanica aliyemwakilisha Mkurugenzi, Joseph Kashushura ameitaka kamati ya ujenzi wa zahanati hiyo kuhakikisha inakuwa na taarifa zote muhimu za ujenzi  tokea  ulipoanza na   kufikia kwa sasa.

Pia,ameitaka kamati hiyo ya ujenzi kuhakikisha mkandarasi wa mradi anafanya mawasiliano na wahandisi wa halmashauri kwa kila hatua inapokamilia ili wakague ubora wa jengo.

“Pamoja na hili la kukaguliwa na wahandisi wa halmashauri mkandarasi anatakiwa kuwa eneo la mradi kila wakati ili kubaini makosa yote yanayojitokeza,” amesema.

Kwa upande wake Diwani wa kata ya Kurugongo, Edson Hanyuma amesema kuwa alipata wazo la ujenzi wa zahanati na kuwashirikisha viongozi wa kijiji ili waweze kusogeza huduma za afya  karibu na wananchi.

“Wale wajumbe walikubali baadae tukaenda katika mkutano wa hadhara tukakubaliana hata kiasi cha mchango na wananchi wakalipokea vizuri wakaanza kufyatua matofali, kukusanya mawe na kutoa mchango wa shilingi elfu 10 kwa awamu ya kwanza na elfu 5 awamu ya pili…

Kwa michango yote ya awamu ya kwanza na ya pili ilikwenda vizuri mawe yalikusanywa lakini pia matofali yaliletwa eneo la mradi na ujenzi ukawa umeanza kwasababu pesa ya kumpa fundi ilikuwepo,” amesema.

Katika hatua nyingine Hanyuma amemshukuru Mganga Mkuu wa Wilaya (DMO) kwa ushirikiano mkubwa aliotoa hadi kuanza kwa ujenzi huo.


Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO ILIYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 08, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI February 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA February 21, 2024
  • MWALIKO WA ZABUNI KUPANGISHA ENEO KWAAJILI YA MGAHAWA March 08, 2024
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • KASULU DC YAANZISHA SHAMBA DARASA LA VIAZI LISHE KUKABILIANA NA UTAPIAMLO

    June 15, 2025
  • KUU KASULU YAKAGUA MIRADI YA MWENGE

    June 13, 2025
  • MATUMIZI YA ZANA ZA UFUNDISHAJI YATAJWA KUONGEZA UFANISI SHULENI

    June 11, 2025
  • WALIMU SHULE YA MSINGI KISUMA WATOA SHUKRANI KWA WADAU WALIOCHANGIA SARE NA VIFAA KWA WANAFUNZI

    June 05, 2025
  • Angalia Zote

Video

NAIBU WAZIRI OR-UTUMISHI NOV 2022
Video zaidi

KURASA ZA KARIBU

  • PlanRep_Web_Based
  • FFARS Online Manual
  • PlanRep Online Manual
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • safari_Live
  • safaridemo
  • Dashibodi ya Ukusanyaji wa Mapato
  • UNICEF Dashboard
  • Kamusi Eng & Swa

TOVUTI ZINAZOHUSIANA

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • BUNGE
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • ARIDHI
  • OPEN UNIVERSITY
  • PSPTB
  • AJIRA
  • HFR Dashboard
  • KIGOMA DC
  • NACTE
  • NECTA
  • eMrejesho

Kihesabu watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU

    Anuani ya Posta: S.L.P 97

    Simu ya Mezani: +255-028-2810339

    Simu: +255-028-2810339

    Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera Ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma
    • Wasiliana Nasi

Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.