• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kasulu District Council
Kasulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo-Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
      • MRADI WA UMWAGILIAJI TITYE
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Taratibu
    • Huduma Kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Makala
    • Matangazo

BARAZA LA MADIWANI KASULU DC KWENDA KIDIGITALI

Posted on: September 11th, 2024

Na Mwandishi Wetu 

Halamshauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma jana Jumanne Septemba 10,2024 imetekeleza mpango wa kuhama kutoka katika uendeshaji wa vikao  vya mabaraza ya madiwani kwa kutumia makabrasha na kuanza kutumia vishikwambi.

Ambapo jumla ya vishikwambi 70 vimenunuliwa na kugawiwa  kwa waheshimiwa madiwani,Kamati ya Uinzi na Usalama  ya Wilaya ya Kasulu,wakuu wa divisheni na vitengo pamoja na baadhi ya viongozi Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani humo.

Akizungumza katika  Mkutano wa Baraza la Madiwani kujadili taarifa za Robo ya Nne ya mwaka 2023/2024 Mwenyekiti wa Halmashauri  hiyo,  Mhe. Eliya Kagoma amesema kuwa vifaa hivyo vitaleta matokeo chanya kwa kurahisisha upatikanaji wa taarifa pamoja na kuokoa fedha zilizokuwa zinatumika kwenye uandaaji wa makabrasha.


Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu, Dkt. Semistatus H. Mashimba amesema kuwa ugawaji wa vishikwambi hivyo ni katika kuhakikisha utekelezaji wa shughuli za kiserikali zinafanywa kisasa zaidi ili kuwa na halmashauri endelevu inayobadilika kutokana na wakati.

Naye Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Kasulu, Mbelwa Chidebwe  amesema  jiografia ya halmshauri hiyo ina eneo kubwa la kiutawala hivyo ununuzi wa vishikwambi utapunguza gharama za uendeshaji na fedha zilizokuwa zinatumika kuandaa makabrasha zitakwenda kusaidia  uetekelezaji miradi mingine ya maendeleo.


Diwani wa Viti Maalum kutoka Kata ya Nyamidaho, Mhe. Agness Kanyamangenge ameipongeza Kamati ya Fedha ya baraza hilo  kwa kulipitisha jambo ambalo ni zuri litakalopunguza adha kwa wakuu wa divisheni na vitengo kusambaza makabrasha kwa madiwani ambapo kutokana na eneo la kijiografia kuwa kubwa fedha nyingi zilikuwa zinatumika.

Awali akizungumza katika tukio hilo Katibu Tawala wa Wilaya ya Kasulu,Theresia Mtewele aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya hiyo, Mhe. Kanali Isaac Mwakisu amehimiza  suala la umoja na mshikamano nchi inapoelekea katika uchaguzi  pasipo kujali itikadi za kisiasa ili kutimiza azma ya serikali ya kuwaletea maendeleo wananchi.


Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO ILIYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 08, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI February 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA February 21, 2024
  • MWALIKO WA ZABUNI KUPANGISHA ENEO KWAAJILI YA MGAHAWA March 08, 2024
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • KASULU DC YAANZISHA SHAMBA DARASA LA VIAZI LISHE KUKABILIANA NA UTAPIAMLO

    June 15, 2025
  • KUU KASULU YAKAGUA MIRADI YA MWENGE

    June 13, 2025
  • MATUMIZI YA ZANA ZA UFUNDISHAJI YATAJWA KUONGEZA UFANISI SHULENI

    June 11, 2025
  • WALIMU SHULE YA MSINGI KISUMA WATOA SHUKRANI KWA WADAU WALIOCHANGIA SARE NA VIFAA KWA WANAFUNZI

    June 05, 2025
  • Angalia Zote

Video

NAIBU WAZIRI OR-UTUMISHI NOV 2022
Video zaidi

KURASA ZA KARIBU

  • PlanRep_Web_Based
  • FFARS Online Manual
  • PlanRep Online Manual
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • safari_Live
  • safaridemo
  • Dashibodi ya Ukusanyaji wa Mapato
  • UNICEF Dashboard
  • Kamusi Eng & Swa

TOVUTI ZINAZOHUSIANA

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • BUNGE
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • ARIDHI
  • OPEN UNIVERSITY
  • PSPTB
  • AJIRA
  • HFR Dashboard
  • KIGOMA DC
  • NACTE
  • NECTA
  • eMrejesho

Kihesabu watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU

    Anuani ya Posta: S.L.P 97

    Simu ya Mezani: +255-028-2810339

    Simu: +255-028-2810339

    Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera Ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma
    • Wasiliana Nasi

Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.