Mwenge wa Uhuru 2018 utafika tarehe 18.04.2018
Mapokezi yatakuwa uwanja wa shule ya Msingi Mvugwe.
Mkesha utakuwa uwanja wa Shule ya Sekondari Rungwe Mpya.
KAULIMBIU 2018 NI "ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA WEKEZA SASA KWA MAENDELEO YA TAIFA. "
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KITAIFA 2018 NI NDUGU CHARLES FRANCIS KABEHO.
Wote mnakaribishiwa
HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU
Anuani ya Posta: S.L.P 97
Simu ya Mezani: +255-028-2810339
Simu: +255-028-2810339
Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz
Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.