NAIBU waziri wa ujenzi na uchukuzi Eng.Godfrey Kasekenya (mwenye kofia) Februari 28, 2022 amefanya mazungumzo mafupi na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Emmanuel Ladislaus (kulia) katika ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu alipokuwa ziarani kukagua mradi wa ujenzi wa barabara ya Kabingo, Kasulu hadi Manyovu inayojengwa kwa kiwango cha lami.
HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU
Anuani ya Posta: S.L.P 97
Simu ya Mezani: +255-028-2810339
Simu: +255-028-2810339
Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz
Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.