• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kasulu District Council
Kasulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo-Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
      • MRADI WA UMWAGILIAJI TITYE
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Taratibu
    • Huduma Kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Makala
    • Matangazo

WENYEVITI WA VIJIJI NA VITONGOJI WAPEWA MAFUNZO KUWAJENGEA UWEZO WANAPOTEKELEZA MAJUKUMU YAO

Posted on: January 8th, 2025

Wenyeviti wa vijiji na vitongoji kutoka katika kata 21 za Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wamepatiwa mafunzo ya kuwajengea uwezo katika kutekeleza majukumu yao wanapotuumikia wananchi.

_

Mafunzo hayo yametolewa leo Jumatano Januari 08, 2025 katika ukumbi wa Dkt. Samia Katika Chuo Cha Ualimu Kasulu na wakufunzi kutoka Chuo Cha Serikali Za Mitaa (Hombolo) kilichopo mkoani Dodoma na kuhusisha makundi hayo.

_

Akizungumza katika ufunguzi wa mafunzo hayo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo,Dkt. Semistatus H. Mashimba amewataka washiriki hao kutambua nafasi zao kwa kuwa raia wema ikiwemo kuongoza kwa kufuata sheria, taratibu na kanuni za nchi.

_

“Nafasi zenu  ni kubwa lakini msivae hizo nafasi zenu mkawe wananchi wema kwani mkifanya hivyo mtawatumikia wananchi kwa uadilifu...msiende mkawa miungu watu mkawe wasikivu kwa wananchi na mkafate misingi ya uongozi na utawala bora,”amesema Dkt. Mashimba.

 _

Katika hatua nyingine Dkt. Mashimba amewataka washiriki hao kufanya tathmini ya mara kwa mara ya utendaji wao wa kazi ikiwemo kutokufanya vitu kinyume na utaratibu  kwa kufanya vikao vya kisheria pamoja na kuhakikisha wanasoma taarifa ya mapato na matumizi kwa wananchi.

_

Naye  Mhadhiri wa Chuo cha Hombolo,Sarah Kilagane ameyataka makundi hayo kusimama vizuri kwenye nafasi zao kwa  kazi kwa ushirikiano mkubwa na wananchi ili kuwaletea maendeleo.

_

 "Swala la uibuaji na usimamiaji wa miradi na vyanzo vya mapato ni swala muhimu la kuzingatia katika kutekeleza majukumu yenu likiwemo  jukumu kubwa la kusimamia masuala ya ulinzi na usalama wa kijiji husika...sifa za kiongozi bora ni mtu kuwa muadilifu na mfano wa kuigwa kwenye jamii,ambaye anashirikiana  na wananchi kwenye kuleta maendeleo na anayesimamia mawasiliano kutoka ngazi za chini kuyaleta juu," ameongeza.

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO ILIYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 08, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI February 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA February 21, 2024
  • MWALIKO WA ZABUNI KUPANGISHA ENEO KWAAJILI YA MGAHAWA March 08, 2024
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • PAMBA KUINUA UCHUMI WA WAKULIMA

    May 08, 2025
  • WASHIRIKI WA MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA WAHASWA KUFANYA KAZI KWA BIDII

    April 29, 2025
  • MAWAKALA WA VYAMA KURUHUSIWA KITUONI KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA

    April 29, 2025
  • MAWAKALA WA VYAMA KURUHUSIWA KITUONI KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA

    April 29, 2025
  • Angalia Zote

Video

NAIBU WAZIRI OR-UTUMISHI NOV 2022
Video zaidi

KURASA ZA KARIBU

  • PlanRep_Web_Based
  • FFARS Online Manual
  • PlanRep Online Manual
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • safari_Live
  • safaridemo
  • Dashibodi ya Ukusanyaji wa Mapato
  • UNICEF Dashboard
  • Kamusi Eng & Swa

TOVUTI ZINAZOHUSIANA

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • BUNGE
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • ARIDHI
  • OPEN UNIVERSITY
  • PSPTB
  • AJIRA
  • HFR Dashboard
  • KIGOMA DC
  • NACTE
  • NECTA
  • eMrejesho

Kihesabu watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU

    Anuani ya Posta: S.L.P 97

    Simu ya Mezani: +255-028-2810339

    Simu: +255-028-2810339

    Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera Ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma
    • Wasiliana Nasi

Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.