• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kasulu District Council
Kasulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo-Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
      • MRADI WA UMWAGILIAJI TITYE
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Taratibu
    • Huduma Kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Makala
    • Matangazo

WALIMU SHULE YA MSINGI KISUMA WATOA SHUKRANI KWA WADAU WALIOCHANGIA SARE NA VIFAA KWA WANAFUNZI

Posted on: June 5th, 2025

Na Mwandishi Wetu

Walimu wa Shule ya Msingi Kisuma wamewashukuru wadau mbalimbali wakiwemo wale kutoka shirika lisilo la kiserikali la Usilie Tena, kwa kuwasaidia wanafunzi wenye uhitaji kwa kuwapatia sare za shule, mikanda, na vifaa vya kujifunzia.

Akizungumza jana wakati wa tukio la ugawaji wa msaada huo shuleni hapo, Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Everest Ntagaye, amesema kuwa misaada hiyo imekuwa na mchango mkubwa katika kuongeza hamasa ya wanafunzi kuhudhuria masomo, hali iliyosaidia kupunguza utoro.

“Katika siku ya leo, baadhi ya wanafunzi wamepata sare, mikanda na vifaa vya kujifunzia. Wale ambao hawajapata kwa sasa, msiwe na wasiwasi mnaweza kupata wakati mwingine Mungu akipenda. Ni muhimu tuoneshe ushirikiano kwa kutunza tunavyopata, ili kuwatia moyo wadau wetu kuendelea kusaidia zaidi,” amesema.

Kwa upande wake, Mwalimu Jackline Mringi ameeleza kuwa misaada hiyo imesaidia kuondoa hali ya kutengwa kwa baadhi ya wanafunzi, hasa wale waliokuwa wakikabiliwa na changamoto za kifamilia, jambo lililoongeza ushiriki darasani na kuboresha ufaulu.

Katika hatua nyingine, Mwalimu Yusuph Hamisi 'U Fresh' amewashukuru wadau wote wanaoendelea kuisaidia shule hiyo, akisema kuwa msaada wao umekuwa chachu ya kuongeza motisha kwa wanafunzi kupenda shule.

Akizungumza kwa niaba ya wanafunzi, Irene Jared amelishukuru shirika la Usilie Tena na wadau wengine kwa mchango wao na kuahidi kuwa atawahamasisha wenzake kusoma kwa bidii ili waweze kutimiza ndoto zao siku za usoni.

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO ILIYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 08, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI February 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA February 21, 2024
  • MWALIKO WA ZABUNI KUPANGISHA ENEO KWAAJILI YA MGAHAWA March 08, 2024
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • CPA KAFUKU : WATUMISHI TEMBEENI KIFUA MBELE KWA UTENDAJI KAZI WENU BORA

    July 30, 2025
  • SERIKALI YAKABIDHI SHULE YA SHILINGI 361 KWA KIJIJI CHA ZEZE

    July 24, 2025
  • UGAWAJI WA BURE WA MICHE YA KAHAWA WAWAVUTIA WAKULIMA

    July 22, 2025
  • KILIMO CHA MCHIKICHI KUSUKUMA UCHUMI MPYA KWA WAKULIMA

    July 17, 2025
  • Angalia Zote

Video

NAIBU WAZIRI OR-UTUMISHI NOV 2022
Video zaidi

KURASA ZA KARIBU

  • PlanRep_Web_Based
  • FFARS Online Manual
  • PlanRep Online Manual
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • safari_Live
  • safaridemo
  • Dashibodi ya Ukusanyaji wa Mapato
  • UNICEF Dashboard
  • Kamusi Eng & Swa

TOVUTI ZINAZOHUSIANA

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • BUNGE
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • ARIDHI
  • OPEN UNIVERSITY
  • PSPTB
  • AJIRA
  • HFR Dashboard
  • KIGOMA DC
  • NACTE
  • NECTA
  • eMrejesho

Kihesabu watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU

    Anuani ya Posta: S.L.P 97

    Simu ya Mezani: +255-028-2810339

    Simu: +255-028-2810339

    Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera Ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma
    • Wasiliana Nasi

Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.