• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kasulu District Council
Kasulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo-Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
      • MRADI WA UMWAGILIAJI TITYE
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Taratibu
    • Huduma Kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Makala
    • Matangazo

VIONGOZI WA TAASISI ZA ELIMU NA IDARA YA AFYA KASULU WATAKIWA KUSIMAMIA USAFI WA MAZINGIRA

Posted on: June 2nd, 2025


Wakuu wa taasisi za elimu pamoja na Idara ya Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu, mkoani Kigoma, wametakiwa kusimamia kikamilifu suala la usafi wa mazingira ili kudhibiti milipuko ya magonjwa yanayosababishwa na uchafuzi wa mazingira.


Wito huo umetolewa leo, Jumatatu Juni 2, 2025, na Afisa Mazingira wa halmashauri hiyo, Hassan Omary, wakati wa uzinduzi wa zoezi la usafi wa mazingira katika Kituo cha Afya cha Nyakitonto. Katika hafla hiyo, Omary ametoa elimu kuhusu utunzaji wa mazingira kwa taasisi na wananchi kwa ujumla, huku akisisitiza hatari ya utupaji taka ovyo.

“Usafi wa mazingira ni mojawapo ya mbinu muhimu za kuzuia kuenea kwa magonjwa, hasa kwa kudhibiti taka ambazo zinaweza kusababisha maambukizi kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine,” amesema.


Kwa upande wake, Afisa Afya wa Halmashauri hiyo, Patrick Mihayo, amesisitiza umuhimu wa usafi wa mazingira katika jamii, akieleza kuwa ukosefu wa usafi ndio chanzo kikuu cha magonjwa mengi duniani. Ameongeza kuwa kuboresha mazingira kuna faida kubwa kwa afya ya kila mtu, kuanzia ngazi ya kaya hadi jamii nzima.

Naye Kaimu Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Nyakitonto, Amani Mkemwa, ameushukuru uongozi wa halmashauri na wananchi kwa kushiriki katika shughuli ya usafi, huku akibainisha kuwa kuna mikakati madhubuti ya kukabiliana na magonjwa ya mlipuko.

Miongoni mwa mikakati hiyo, amesema Mkemwa, ni pamoja na kudumisha ratiba ya usafi wa mazingira kwa njia ya huduma kama vile ukusanyaji wa taka ngumu na majitaka.


Uzinduzi huo umeenda sambamba na wiki ya mazingira duniani, ambayo mwaka huu imebeba kaulimbiu isemayo: “Mazingira Yetu, Tanzania Ijayo: Tuwajibike Sasa, Dhibiti Matumizi ya Plastiki.”

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO ILIYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 08, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI February 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA February 21, 2024
  • MWALIKO WA ZABUNI KUPANGISHA ENEO KWAAJILI YA MGAHAWA March 08, 2024
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • KASULU DC YAENDELEA KUWAJENGEA UWEZO WALIMU WA MADARASA YA AWALI

    June 03, 2025
  • VIONGOZI WA TAASISI ZA ELIMU NA IDARA YA AFYA KASULU WATAKIWA KUSIMAMIA USAFI WA MAZINGIRA

    June 02, 2025
  • PAMBA KUINUA UCHUMI WA WAKULIMA

    May 08, 2025
  • WASHIRIKI WA MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA WAHASWA KUFANYA KAZI KWA BIDII

    April 29, 2025
  • Angalia Zote

Video

NAIBU WAZIRI OR-UTUMISHI NOV 2022
Video zaidi

KURASA ZA KARIBU

  • PlanRep_Web_Based
  • FFARS Online Manual
  • PlanRep Online Manual
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • safari_Live
  • safaridemo
  • Dashibodi ya Ukusanyaji wa Mapato
  • UNICEF Dashboard
  • Kamusi Eng & Swa

TOVUTI ZINAZOHUSIANA

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • BUNGE
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • ARIDHI
  • OPEN UNIVERSITY
  • PSPTB
  • AJIRA
  • HFR Dashboard
  • KIGOMA DC
  • NACTE
  • NECTA
  • eMrejesho

Kihesabu watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU

    Anuani ya Posta: S.L.P 97

    Simu ya Mezani: +255-028-2810339

    Simu: +255-028-2810339

    Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera Ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma
    • Wasiliana Nasi

Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.