Kiongozi cha utaratibu wa mafunzo elekezi ya kwa watumishi wapya wa sekretarieti za mikoa na mamlaka za serikali za mitaa kinakusudia kurahisha utekelezaji wa sera ya mafunzo katika utumishi wa umma ya mwaka 2013 na waraka wa utumishi Na.5 wa mwaka 2011 unaohusu mafunzo elekezi ya awali kwa atumishi wapya.
Aidha,Kiongozi hiki kinatoa utaratibu na majukumu ya taasisi za umma,na wadau wengine wa maendeleo katika utekelezaji wa mafunzo elekezi ya awali kwa watumishi wote wapya katika sekretarieti za Mikoa na Mamlaka ya za serikali za mitaa.
HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU
Anuani ya Posta: S.L.P 97
Simu ya Mezani: +255-028-2810339
Simu: +255-028-2810339
Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz
Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.