• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kasulu District Council
Kasulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo-Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
      • MRADI WA UMWAGILIAJI TITYE
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Taratibu
    • Huduma Kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Makala
    • Matangazo

ULIPAJI WA PANGO LA ARDHI KATIKA SHAMBA LA MAKERE KUSINI UBORESHA HUDUMA ZA KIJAMII

Posted on: February 2nd, 2024

Na Mwandishi Wetu

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, Joseph Kashushura amesema ukodishaji wa pango la ardhi katika Shamba la Makere Kusini umesaidia halmashauri kukusanya mapato ya kutosha kitu kilichopelekea kuboresha huduma mbalimbali za kijamii.

Kashushura amebainisha hayo leo Ijumaa katika Kijiji cha Mvugwe wilayani humo wakati wa ziara ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda aliposimama eneo hilo kusikiliza kero mbalimbali za wananchi.

Amesema  kupitia mapato hayo yaliyokusanywa   halmashauri imefanikiwa kutekeleza ujenzi wa kituo cha afya katika Kata ya Kitanga,kusaidia vikundi mbalimbali vya wanawake pamoja na ujenzi wa shule ya kisasa ya mchepuo wa kiingereza ya ‘Hope Pre and Primary.

Akizungumza katika tukio hilo Makonda amewaelimisha wananchi kuwa halmashauri inapata kujiendesha kupitia fedha kutoka serikali kuu pamoja na ukusanyaji wa mapato ya ndani kama wanavyofanya katika shamba hilo la Makere Kusini.

“Niagize kamati ya siasa ya mkoa ikiongozwa na Mkuu wa Mkoa iunde tume kuchunguza matumizi ya fedha ya shamba hilo  si jambo la tamko lazima tuangalie faida zitokanazo na shamba hilo…naomba timu ipitie makubaliano ili kata zilizoathiriwa na hilo shamba zipewe kipaumbele katika suala la maendeleo,” amebainisha.

Aidha, amewataka wenyeviti wa vijiji na vitongoji katika halmashauri hiyo kutambua wakulima waliopo katika maeneo  yao ili kuwabaini wale wasiokuwa waaminifu katika mchakato wa kukusanya ushuru wa mazao.

“Hata tukienda kwenye shamba kuna wasio waaminifu kila kiongozi katika eneo lake anajua wakulima wake wanaolima hivyo shangwe zenu zisinifanye nisisimamie ukweli ambao mimi ni muumini wake,” ameongeza Makonda.

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO ILIYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 08, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI February 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA February 21, 2024
  • MWALIKO WA ZABUNI KUPANGISHA ENEO KWAAJILI YA MGAHAWA March 08, 2024
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • PAMBA KUINUA UCHUMI WA WAKULIMA

    May 08, 2025
  • WASHIRIKI WA MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA WAHASWA KUFANYA KAZI KWA BIDII

    April 29, 2025
  • MAWAKALA WA VYAMA KURUHUSIWA KITUONI KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA

    April 29, 2025
  • MAWAKALA WA VYAMA KURUHUSIWA KITUONI KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA

    April 29, 2025
  • Angalia Zote

Video

NAIBU WAZIRI OR-UTUMISHI NOV 2022
Video zaidi

KURASA ZA KARIBU

  • PlanRep_Web_Based
  • FFARS Online Manual
  • PlanRep Online Manual
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • safari_Live
  • safaridemo
  • Dashibodi ya Ukusanyaji wa Mapato
  • UNICEF Dashboard
  • Kamusi Eng & Swa

TOVUTI ZINAZOHUSIANA

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • BUNGE
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • ARIDHI
  • OPEN UNIVERSITY
  • PSPTB
  • AJIRA
  • HFR Dashboard
  • KIGOMA DC
  • NACTE
  • NECTA
  • eMrejesho

Kihesabu watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU

    Anuani ya Posta: S.L.P 97

    Simu ya Mezani: +255-028-2810339

    Simu: +255-028-2810339

    Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera Ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma
    • Wasiliana Nasi

Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.