• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kasulu District Council
Kasulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo-Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
      • MRADI WA UMWAGILIAJI TITYE
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Taratibu
    • Huduma Kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Makala
    • Matangazo

SERIKALI YAPONGEZWA UPOKEAJI WATOTO BILA MASHARTI

Posted on: January 9th, 2024

Na Mwandishi Wetu 

Serikali imepongezwa kwa hatua iliyochukua ya kuruhusu watoto kujiunga na masomo ya kidato cha kwanza hata kama baaadhi ya mambo muhimu ikiwemo vifaa vya shule hayajakamilika.

Pongezi hizo zimetolewa kwa nyakati tofauti leo Jumanne na baadhi ya wazazi waliowapeleka watoto wao kwenda kujiunga na elimu hiyo katika Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani  Kigoma.

Mmoja ya wazazi, Stephano William kutoka Kijiji cha Nyangwa aliyempeleka mtoto wake kuanza masomo hayo katika Shule ya Sekondari Makere alimpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa hatua aliyochukua ya kuhakikisha watoto wanafika shule hata kama hawajakamilisha vifaa vinavyotakiwa.


“Pongezi nayoitoa kwa serikali ni kwamba waendelee kutushika mkono kwenye upande wa elimu ili izidi kupamba moto tuondoe ujinga kwa watoto wetu ili siku za mbeleni waweze kutimiza ndoto zao,” amesema.

Naye Mengi Ndinagwe kutoka Kijiji cha Kitagata amesema kuwa alipofika katika shule ya Sekondari Kimwanya alikumbana na baadhi ya changamoto ambazo kwa muda mfupi ziliweza kutatuliwa.  

“Na sasa wanaendelea kupokea wanafunzi ili mradi aje na daftari na kalamu hivyo ndivyo mzazi anatakiwa aje navyo ila suala la kupokelewa kwa hapa kwakweli hamna tatizo,” amebainisha.

Makamu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Makere, Majid Jambia amesema kuwa wanaendela kupokea wanafunzi kupitia maelekezo waliyopewa kutoka ngazi za juu.

“Tunashukuru maafisa wetu kututembelea kwa hapa zoezi linaendelea  vizuri na wamepata fursa ya kuongea na wanafunzi pamoja na wazazi, na zile changamoto zilizojitokeza ametusaidia pamoja kutupa maelekezo zaidi,” amesema.

Kwa upande wake Afisa Elimu Taaluma (Sekondari) Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu, Mussa Kanyoe  amebainisha kuwa ametoa melekezo kwa shule zote kuwapokea watoto hata wale ambao hawana vifaaa ili ufundishaji utakapoanza waende sambamba.


Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO ILIYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 08, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI February 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA February 21, 2024
  • MWALIKO WA ZABUNI KUPANGISHA ENEO KWAAJILI YA MGAHAWA March 08, 2024
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • PAMBA KUINUA UCHUMI WA WAKULIMA

    May 08, 2025
  • WASHIRIKI WA MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA WAHASWA KUFANYA KAZI KWA BIDII

    April 29, 2025
  • MAWAKALA WA VYAMA KURUHUSIWA KITUONI KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA

    April 29, 2025
  • MAWAKALA WA VYAMA KURUHUSIWA KITUONI KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA

    April 29, 2025
  • Angalia Zote

Video

NAIBU WAZIRI OR-UTUMISHI NOV 2022
Video zaidi

KURASA ZA KARIBU

  • PlanRep_Web_Based
  • FFARS Online Manual
  • PlanRep Online Manual
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • safari_Live
  • safaridemo
  • Dashibodi ya Ukusanyaji wa Mapato
  • UNICEF Dashboard
  • Kamusi Eng & Swa

TOVUTI ZINAZOHUSIANA

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • BUNGE
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • ARIDHI
  • OPEN UNIVERSITY
  • PSPTB
  • AJIRA
  • HFR Dashboard
  • KIGOMA DC
  • NACTE
  • NECTA
  • eMrejesho

Kihesabu watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU

    Anuani ya Posta: S.L.P 97

    Simu ya Mezani: +255-028-2810339

    Simu: +255-028-2810339

    Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera Ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma
    • Wasiliana Nasi

Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.