• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kasulu District Council
Kasulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo-Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
      • MRADI WA UMWAGILIAJI TITYE
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Taratibu
    • Huduma Kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Makala
    • Matangazo

SERIKALI YA AWAMU YA SITA YAENDELEA KUUFUNGUA MKOA WA KIGOMA

Posted on: August 5th, 2024

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita  imeendelea kutekeleza kwa vitendo dhamira yake ya kuufungua Mkoa wa Kigoma ikiwemo kuufanya kuwa kitovu cha Biashara  ukanda wa mikoa ya Magharibi.


Dkt. Nchimbi amesema hayo alipokuwa anazungumza na wakazi wa Wilaya ya Kasulu kwenye ziara yake mkoani humi aliyoambatana na wajumbe wa Sekretarieti ya CCM Taifa.


Amesema Rais Dkt. Samia ametoa zaidi ya Shilingi Tril. 11 kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo uboreshaji  wa miundombinu ya kijamii sambamba na ile yenye kuwawezesha wananchi kiuchumi.

"Kuna hatua kubwa ya kimaendeleo imefikiwa hapa mkoani Kigoma katika utekelezaji wa miradi ikiwemo ujenzi wa barabara, ukarabati wa meli, upanuzi wa uwanja wa ndege, sambamba na miradi mbalimbali ya kutolea huduma za jamii, hizi zote ni kazi nzuri zinazotekelezwa na serikali ya awamu ya sita mkoani hapa," amesisitiza.

Katika hatua nyingine Dkt. Nchimbi ameiagiza Wizara ya Nishati kufuatilia na kutatua changamoto ya huduma ya Umeme wilayani Kasulu.

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO ILIYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 08, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI February 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA February 21, 2024
  • MWALIKO WA ZABUNI KUPANGISHA ENEO KWAAJILI YA MGAHAWA March 08, 2024
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • KASULU YAWEZESHA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU KWA MIKOPO YA MILIONI 870

    June 20, 2025
  • KASULU DC YAWAAGA MADIWANI WALIOHITIMISHA KIPINDI CHAO CHA MIAKA MITANO

    June 20, 2025
  • KASULU DC YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI PAMOJA NA KUPUNGUZA IDADI ZA HOJA HADI KUFIKIA TARAKIMU MOJA

    June 16, 2025
  • TIMU YA MADAKTARI BINGWA WA MAMA SAMIA YAKEWA KAMBI HOSPITALI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU

    June 17, 2025
  • Angalia Zote

Video

NAIBU WAZIRI OR-UTUMISHI NOV 2022
Video zaidi

KURASA ZA KARIBU

  • PlanRep_Web_Based
  • FFARS Online Manual
  • PlanRep Online Manual
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • safari_Live
  • safaridemo
  • Dashibodi ya Ukusanyaji wa Mapato
  • UNICEF Dashboard
  • Kamusi Eng & Swa

TOVUTI ZINAZOHUSIANA

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • BUNGE
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • ARIDHI
  • OPEN UNIVERSITY
  • PSPTB
  • AJIRA
  • HFR Dashboard
  • KIGOMA DC
  • NACTE
  • NECTA
  • eMrejesho

Kihesabu watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU

    Anuani ya Posta: S.L.P 97

    Simu ya Mezani: +255-028-2810339

    Simu: +255-028-2810339

    Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera Ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma
    • Wasiliana Nasi

Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.