• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kasulu District Council
Kasulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo-Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
      • MRADI WA UMWAGILIAJI TITYE
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Taratibu
    • Huduma Kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Makala
    • Matangazo

MRADI WA WEZESHA BINTI WATAMBULISHWA BUHORO

Posted on: December 6th, 2024

Na Mwandishi Wetu,Kasulu 

Kijiji cha Buhoro leo Ijumaa Desemba 6,2024 kimeupokea mradi wa Wezesha Binti uliotambulishwa na Shirika la Maendeleo la Ubelgiji (ENABEL)  wenye lengo la kuwakwamua vijana  wenye umri wa miaka 14-29 wanaoishi katika mazingira magumu.

Akizungumza wakati wa tukio hilo Diwani wa Kata ya Buhoro,Mathias Sunzu ameipongeza ENABEL kwa namna Ilivyolenga kuwapa ujuzi vijana wa jinisa zote kufanya kazi mchanganyiko pamoja na kumfanya mtoto wa kike kuwa na hedhi salama akiwa shuleni.

“Mradi huu utatekelezwa katika Shule ya Sekondari ya  Ntamya na wananchi wamehamasika kuunga mkono kama unavyoona kwakuwa umeweka kipaumbele  kutoa taulo za kike pamoja na kujenga vyoo vya kisasa vyenye uhakika wa maji ili viwasaidie wakati wa hedhi,” amesema.

 

Pamoja na hayo ameiomba ENABEL kuiwezesha shule hiyo ujenzi wa mabweni mawili ya watoto wakike na moja wakiume ili kuwapunguzia adha ya kutembea umbali mrefu wa zaidi ya kilomita 12 kufika shuleni.


Kwa upande wake Mratibu wa Mradi wa Wezesha Binti, Henry Abraham amesema kuwa wamebaini jamii ina changamoto nyingi zinazohitaji utatuzi hivyo wakianza rasmi kutekeleza mradi huo kijijini hapo watahakikisha wanazitatua ili idadi ya wanafunzi wanaomaliza kidato cha nne iweze kuongezeka.

Katika hatua nyingine Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Ntamya,Welason Said amesema kuwa majadiliano yaliyofanyika yamempa weledi wa kuwasaidia watoto wa kike wanapopitia changamoto mbalimbali wakati wa hedhi ikiwemo kuripoti vitendo vya unyanyasaji wanavyofanyiwa kwa mamlaka husika.


Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO ILIYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 08, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI February 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA February 21, 2024
  • MWALIKO WA ZABUNI KUPANGISHA ENEO KWAAJILI YA MGAHAWA March 08, 2024
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • PAMBA KUINUA UCHUMI WA WAKULIMA

    May 08, 2025
  • WASHIRIKI WA MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA WAHASWA KUFANYA KAZI KWA BIDII

    April 29, 2025
  • MAWAKALA WA VYAMA KURUHUSIWA KITUONI KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA

    April 29, 2025
  • MAWAKALA WA VYAMA KURUHUSIWA KITUONI KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA

    April 29, 2025
  • Angalia Zote

Video

NAIBU WAZIRI OR-UTUMISHI NOV 2022
Video zaidi

KURASA ZA KARIBU

  • PlanRep_Web_Based
  • FFARS Online Manual
  • PlanRep Online Manual
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • safari_Live
  • safaridemo
  • Dashibodi ya Ukusanyaji wa Mapato
  • UNICEF Dashboard
  • Kamusi Eng & Swa

TOVUTI ZINAZOHUSIANA

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • BUNGE
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • ARIDHI
  • OPEN UNIVERSITY
  • PSPTB
  • AJIRA
  • HFR Dashboard
  • KIGOMA DC
  • NACTE
  • NECTA
  • eMrejesho

Kihesabu watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU

    Anuani ya Posta: S.L.P 97

    Simu ya Mezani: +255-028-2810339

    Simu: +255-028-2810339

    Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera Ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma
    • Wasiliana Nasi

Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.