• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kasulu District Council
Kasulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo-Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
      • MRADI WA UMWAGILIAJI TITYE
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Taratibu
    • Huduma Kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Makala
    • Matangazo

MRADI WA SHULE BORA UWAWA

Posted on: February 24th, 2023

Watalaamu wa elimu ngazi za Halmashauri Mkoani Kigoma  wanaendelea na mafunzo ya Siku tano (05) yaliyoanza siku ya Jumatatu February 20, 2023 na yanatarajiwa kuhitimishwa siku ya Ijumaa February 24, yakìfanyika katika Ukumbi wa Kasulu Motel

Mafunzo hayo yameandaliwa na Mradi wa Shule bora  unafadhiliwa na Serikali ya Uingereza Kupitia Mfuko wa UK aid kwa lengo la kuwajengea uwezo ili kuwawezesha Viongozi wa Elimu ngazi za Kata kufanya Umoja wa Wazazi na walezi (UWAWA) katika shughuli za ufundishaji na ujifunzaji

Mafunzo hayo  yamehusisha makundi ya wataalamu mbalimbali  Kutoka ngazi za Wilaya wakiwemo Maafisa elimu, Watakwimu wa elimu, Maafisa elimu -Walemavu,  Wadhibiti ubora wa elimu,  Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC),  Wachumi, Maafisa Maendeleo ya Jamii pamoja na Maafisa habari

Akifungua kikao siku ya Jana February 22, 2023  Mratibu wa Mradi wa Shule Bora Mkoani Kigoma Ndugu. David Mwamalasi  aliendelea kuwataka wanasemina Kuzingatia mafunzo kwa lengo la kwenda   kuwajengea uwezo Maafisa elimu Kata, Walimu Wakuu,  na Wenyeviti wa Kamati za Shule kuunda umoja Wazazi na Walezi (UWAWA) katika kuinua viwango vya Taaluma Shuleni

Mkufunzi wa Kitaifa kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Ndugu. Kelvin  Rutaihwa aliwataka Washiriki Kuzingatia mafunzo  yanayotolewa kwa lengo la kukuza viwango vya elimu Mkoani hapo kwa kushirikiana na Wazazi  

Alisema umoja wa Wazazi na Walezi (UWAWA) wanawajibu wa kufanya na kuhudhuria vikao Shuleni, usimamizi na usomaji wa Wanafunzi nyumbani,  kuibua na kuendeleza vipaji vya Wanafunzi pamoja na kuhamasisha uandikishaji, mahudhurio na Mvuko wa Wanafunzi    

Aidha alisema utasaidia kamati ya Shule katika utekelezaji wa mpango wa Jumla na maendeleo ya Shule , kusimamia Ustawi , usalama na kusimamia ujumuishi wa Wanafunzi  kwa kushughulikia Vitendo vya ukatili, na ukiukwaji wa haki za Watoto na kutatua changamoto Za Wanafunzi wenye mahitaji Maalumu    

Katika Kikao hicho mada mbalimbali ziliendelea kujadiliwa  ikiwa ni pamoja na Usimamizi wa rasilimali za Shule, Mapitio ya Matokeo ya Mitihani ya Darasa la nne na la Saba Mkoani Kigoma, na Ushiriki wa Jamii katika ukuzaji wa elimu  

Mradi wa Shule bora unafadhiliwa na Serikali ya Uingereza Kupitia Mfuko wa UK aid ukitekelezwa katika Mikoa tisa ukipokea utaalamu wa kiufundi toka Cambrige Education ikishirikiana na Mashirika ya ADD International, International Rescue Committe (IRC) na Plan International

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO ILIYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 08, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI February 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA February 21, 2024
  • MWALIKO WA ZABUNI KUPANGISHA ENEO KWAAJILI YA MGAHAWA March 08, 2024
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • PAMBA KUINUA UCHUMI WA WAKULIMA

    May 08, 2025
  • WASHIRIKI WA MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA WAHASWA KUFANYA KAZI KWA BIDII

    April 29, 2025
  • MAWAKALA WA VYAMA KURUHUSIWA KITUONI KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA

    April 29, 2025
  • MAWAKALA WA VYAMA KURUHUSIWA KITUONI KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA

    April 29, 2025
  • Angalia Zote

Video

NAIBU WAZIRI OR-UTUMISHI NOV 2022
Video zaidi

KURASA ZA KARIBU

  • PlanRep_Web_Based
  • FFARS Online Manual
  • PlanRep Online Manual
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • safari_Live
  • safaridemo
  • Dashibodi ya Ukusanyaji wa Mapato
  • UNICEF Dashboard
  • Kamusi Eng & Swa

TOVUTI ZINAZOHUSIANA

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • BUNGE
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • ARIDHI
  • OPEN UNIVERSITY
  • PSPTB
  • AJIRA
  • HFR Dashboard
  • KIGOMA DC
  • NACTE
  • NECTA
  • eMrejesho

Kihesabu watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU

    Anuani ya Posta: S.L.P 97

    Simu ya Mezani: +255-028-2810339

    Simu: +255-028-2810339

    Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera Ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma
    • Wasiliana Nasi

Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.