• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kasulu District Council
Kasulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo-Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
      • MRADI WA UMWAGILIAJI TITYE
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Taratibu
    • Huduma Kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Makala
    • Matangazo

MATUMIZI YA ZANA ZA UFUNDISHAJI YATAJWA KUONGEZA UFANISI SHULENI

Posted on: June 11th, 2025

Na Mwandishi Wetu 

Matumizi ya zana za kufundishia na kujifunzia yameelezwa kuwa ni nyenzo muhimu inayomwezesha mwalimu kufundisha kwa ufanisi na kufikia malengo ya somo kwa haraka.

 Zana hizo pia husaidia kubaini mahitaji ya mtoto na namna anavyojifunza, sambamba na kumpa uwezo wa kujifunza hata pasipo uwepo wa mwalimu darasani.

Hayo yameelezwa hivi karibuni wilayani Kasulu, mkoani Kigoma na Mwezeshaji wa Mafunzo ya Mradi wa Shule Bora, Sayida Mayunga, alipokuwa akizungumza na mwandishi wetu.

 Amefafanua kuwa matumizi ya zana yanamwezesha mwalimu kuchambua na kutumia zana kulingana na lengo mahsusi la somo husika.

“Matumizi ya zana humsaidia mwalimu kubaini mahitaji ya mtoto na kuelewa namna mtoto anavyojifunza. Mtoto anaweza kuiga au kuelewa kwa kuona vitu vilivyotengenezwa kwa kutumia zana hizo. Ikiwa aina hii ya ufundishaji itapewa kipaumbele, itakuwa mwarobaini wa changamoto ya Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) katika shule zetu.Pia itasaidia kuongeza uelewa wa wanafunzi na hatimaye kuinua kiwango cha ufaulu,” ameeleza Mayunga.

Kwa upande wake, Mwezeshaji mwingine,Halima Dalali, amesema kuwa mbinu hiyo ya ufundishaji humsaidia mtoto kuchambua vitu, kufikiri kwa kina na kuelewa jinsi kitu fulani kilivyotengenezwa na kwa kutumia vifaa gani, hivyo kumjengea fikra yakinifu.

Katika hatua nyingine, Afisa Elimu Taaluma (Msingi) wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu,Joseph Maiga, amewahimiza walimu kuanzisha kona au vyumba maalum vya zana vya kufundishia, iwe ndani au nje ya darasa.

“Natoa wito kwa kila mwalimu katika halmashauri kuhakikisha anaweka mazingira ya kuwa na chumba au kona ya zana. Hii itasaidia sana kuongeza ari ya kujifunza kwa wanafunzi, kupunguza utoro, na kuwajengea ubunifu kwa kuwa nao watashiriki moja kwa moja katika kutengeneza na kutumia zana hizo,” amesema Maiga.

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO ILIYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 08, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI February 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA February 21, 2024
  • MWALIKO WA ZABUNI KUPANGISHA ENEO KWAAJILI YA MGAHAWA March 08, 2024
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • MATUMIZI YA ZANA ZA UFUNDISHAJI YATAJWA KUONGEZA UFANISI SHULENI

    June 11, 2025
  • WALIMU SHULE YA MSINGI KISUMA WATOA SHUKRANI KWA WADAU WALIOCHANGIA SARE NA VIFAA KWA WANAFUNZI

    June 05, 2025
  • MAFUNZO YA SIKU TATU YA KKK KWA WALIMU WA DARASA LA KWANZA NA LA PILI YAFIKIA TAMATI KASULU

    June 05, 2025
  • KASULU DC YAENDELEA KUWAJENGEA UWEZO WALIMU WA MADARASA YA AWALI

    June 03, 2025
  • Angalia Zote

Video

NAIBU WAZIRI OR-UTUMISHI NOV 2022
Video zaidi

KURASA ZA KARIBU

  • PlanRep_Web_Based
  • FFARS Online Manual
  • PlanRep Online Manual
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • safari_Live
  • safaridemo
  • Dashibodi ya Ukusanyaji wa Mapato
  • UNICEF Dashboard
  • Kamusi Eng & Swa

TOVUTI ZINAZOHUSIANA

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • BUNGE
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • ARIDHI
  • OPEN UNIVERSITY
  • PSPTB
  • AJIRA
  • HFR Dashboard
  • KIGOMA DC
  • NACTE
  • NECTA
  • eMrejesho

Kihesabu watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU

    Anuani ya Posta: S.L.P 97

    Simu ya Mezani: +255-028-2810339

    Simu: +255-028-2810339

    Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera Ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma
    • Wasiliana Nasi

Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.