• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kasulu District Council
Kasulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo-Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
      • MRADI WA UMWAGILIAJI TITYE
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Taratibu
    • Huduma Kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Makala
    • Matangazo

KATIBU TAWALA WA WILAYA YA KASULU AKERWA NA ONGEZEKO LA WATOTO WASIOENDA SHULE

Posted on: April 6th, 2023

Na Mwandishi wetu

Katibu tawala wa wilaya ya Kasulu Mughuha Titus, amewataka walimu kushirikiana na viongozi wa serikali katika kuwarudisha shuleni watoto walioacha shule.


Mughuha ametoa wito huo alipokuwa akifungua mafunzo ya siku tano ya walimu watakaofundisha watoto walio katika mpango wa elimu ya Msingi kwa walioikosa MEMKWA yanayofanyika kwenye chuo cha ualimu Kasulu. 


Amesema kuwa, kuendelea kuwepo kwa kundi hilo ni sawa na kuandaa bomu ambalo litakuja kulipuka baadaye.


Akitoa mfano Mughuha ambaye alikuwa amemwakilisha mkuu wa wilaya ya Kasulu kufungua mafunzo hayo amesema, matukio ya uhalifu yanayotokea hivi sasa  yamekuwa yakiwahusisha watoto hali ambayo ni hatari.


"Watoto hawa wamekuwa wakitumika kwenye vitendo vya uhalifu na matukio ya wizi, ukabaji, udokozi mpaka kwenye ugaidi, hali hii ni hatari na haikubaliki", amesema.


Ameongeza kuwa ili kufanikisha mpango huo, walimu wanapaswa kushirikiana na viongozi wa kata na vijiji kuwabaini watoto walioacha shule na kuweka mikakati ya kuwarudisha shuleni.


Akizungumza kwenye mafunzo hayo, kaimu mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Kasulu Ndelekwa Vanika, amewataka washiriki kujituma wakati wa kuwatafuta watoto hao kwa kuzingatia ugumu wa kazi hiyo.


Mafunzo hayo yanayowasilishwa na wakufunzi kutoka Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima, yanawashirikisha walimu wakuu, walimu wa MEMKWA na maafisa elimu wa kata tano za Kitanga, Heri Ushingo, Nyamidaho, Makere na Kagerankanda zenye madarasa ya mpango huo.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MTENDAJI WA KIJIJI III, MWANDISHI MWENDESHA OFISI NA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU March 31, 2023
  • NAFASI ZA KAZI USTAWI WA JAMII February 19, 2018
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MAAFISA WATENDAJI WA VIJIJI KASULU DC March 23, 2018
  • USAJIRI WA MAKAMPUNI YA BIASHARA KWA NJIA YA MTANDAO NA TAARIFA MBALI ZA USAJIRI BIASHARA May 16, 2018
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • WAZAZI WATAKIWA KUTOKATISHA MASOMO YA WATOTO

    May 18, 2023
  • KASULU DC YATARAJIA MRADI WA BILION 3.5

    April 25, 2023
  • WANANCHI WA KASULU WAHASWA KULINDA AMANI YA NCHI YA TANZANIA

    April 20, 2023
  • KIGOMA KUWASAKA WATOTO WASIOENDA SHULE

    April 18, 2023
  • Angalia Zote

Video

NAIBU WAZIRI OR-UTUMISHI NOV 2022
Video zaidi

KURASA ZA KARIBU

  • PlanRep_Web_Based
  • FFARS Online Manual
  • PlanRep Online Manual
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • safari_Live
  • safaridemo
  • Dashibodi ya Ukusanyaji wa Mapato
  • UNICEF Dashboard
  • Kamusi Eng & Swa

TOVUTI ZINAZOHUSIANA

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • BUNGE
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • ARIDHI
  • OPEN UNIVERSITY
  • PSPTB
  • AJIRA
  • HFR Dashboard
  • Kigoma dc
  • Nacte
  • Necta

Kihesabu watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU

    Anuani ya Posta: S.L.P 97

    Simu ya Mezani: +255-028-2810339

    Simu: +255-028-2810339

    Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera Ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma
    • Wasiliana Nasi

Copyright ©2022 kasuludc . All rights reserved.