• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kasulu District Council
Kasulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo-Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
      • MRADI WA UMWAGILIAJI TITYE
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Taratibu
    • Huduma Kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Makala
    • Matangazo

KASULU DC YAWAAGA MADIWANI WALIOHITIMISHA KIPINDI CHAO CHA MIAKA MITANO

Posted on: June 20th, 2025

Na Mwandishi Wetu 

Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu, mkoani Kigoma, imefanya hafla fupi ya kuwaaga Waheshimiwa Madiwani waliomaliza muda wao wa kuhudumu katika Baraza la Madiwani kwa kipindi cha miaka mitano, ambacho rasmi kimehitimishwa leo, Juni 20, 2025.

Hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Kagoma uliopo makao makuu ya halmashauri hiyo na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Mbunge wa Kasulu Vijijini, Mheshimiwa Agustino Vuma Olle, viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wawakilishi wa vyama rafiki, baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama pamoja na watumishi wa halmashauri.

Akizungumza katika hafla hiyo, Mbunge wa Kasulu Vijijini, Mhe. Agustino Vuma Olle, amewapongeza madiwani kwa utendaji mzuri ulioepuka migogoro, hali iliyowezesha utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa ufanisi na kukamilika kwa wakati na kwa ubora unaotakiwa.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, Mhe. Eliya Kagoma, ameonyesha hisia za shukrani na heshima baada ya moja ya kumbi za mikutano ya halmashauri kupewa jina lake, akisema kuwa hilo ni tukio la kihistoria litakalobaki katika maisha yake.

“Niwaombe Waheshimiwa Madiwani tumshukuru sana Mungu, kwa kuwa wote tulioanza safari hii tupo salama hadi leo. Nawapongeza kwa kutekeleza ilani ya chama chetu kwa ufanisi mkubwa. Tumekuwa na usimamizi bora wa halmashauri na maendeleo yanaonekana dhahiri,” amesema Kagoma.

 

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO ILIYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 08, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI February 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA February 21, 2024
  • MWALIKO WA ZABUNI KUPANGISHA ENEO KWAAJILI YA MGAHAWA March 08, 2024
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • KASULU YAWEZESHA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU KWA MIKOPO YA MILIONI 870

    June 20, 2025
  • KASULU DC YAWAAGA MADIWANI WALIOHITIMISHA KIPINDI CHAO CHA MIAKA MITANO

    June 20, 2025
  • KASULU DC YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI PAMOJA NA KUPUNGUZA IDADI ZA HOJA HADI KUFIKIA TARAKIMU MOJA

    June 16, 2025
  • TIMU YA MADAKTARI BINGWA WA MAMA SAMIA YAKEWA KAMBI HOSPITALI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU

    June 17, 2025
  • Angalia Zote

Video

NAIBU WAZIRI OR-UTUMISHI NOV 2022
Video zaidi

KURASA ZA KARIBU

  • PlanRep_Web_Based
  • FFARS Online Manual
  • PlanRep Online Manual
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • safari_Live
  • safaridemo
  • Dashibodi ya Ukusanyaji wa Mapato
  • UNICEF Dashboard
  • Kamusi Eng & Swa

TOVUTI ZINAZOHUSIANA

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • BUNGE
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • ARIDHI
  • OPEN UNIVERSITY
  • PSPTB
  • AJIRA
  • HFR Dashboard
  • KIGOMA DC
  • NACTE
  • NECTA
  • eMrejesho

Kihesabu watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU

    Anuani ya Posta: S.L.P 97

    Simu ya Mezani: +255-028-2810339

    Simu: +255-028-2810339

    Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera Ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma
    • Wasiliana Nasi

Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.